KAMA HIYO UNAKOTAKA KU-INVEST BIASHARA INALIPA KWA UHAKKA, CHUKUA. KAMA NI MAMBO YA KILIMO KISICHOTABIRIKA NA MVUA, USITHUBUTU!Habar za asubuh wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?