Hivi mbona watu wote wapo nje ya mada?
Yeye ameshaonana na afisa mikopo. Hilo tayari. Ameahidiwa kupewa mkopo. Haina shida.
Swali linahusu kuchukuwa tu.
Anachohitaji hapa ni jibu lenu la Ndio au Hapana. Mliambiwa na nani kama ana mpango wa biashara? Huenda anaenda kulipa madeni au kula upepo wa bahari