Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

Hivi mbona watu wote wapo nje ya mada?
Yeye ameshaonana na afisa mikopo. Hilo tayari. Ameahidiwa kupewa mkopo. Haina shida.
Swali linahusu kuchukuwa tu.

Anachohitaji hapa ni jibu lenu la Ndio au Hapana. Mliambiwa na nani kama ana mpango wa biashara? Huenda anaenda kulipa madeni au kula upepo wa bahari
 
hapo hamna kitu, unaleta ujinga wa dini kwenye science!!!!!....hakuna cha kuomba, hapa ni science tu! Ukipanda juu ya mti ukajiachia ,utaanguka utakufa, hakuna sala wala swala ala Mungu atakunusuru...you will face the wrath of gravity....utakufa instantly...biashara itakufa instantly...
Sisi tunasema Swala+juhudi+ logic/akili sala peke yake ni useless, swala inakusaidia kupata utulivu kuondoa arrogance ili ufikilii sahihi na uongeze juhudi katika kazi.
 
Take your time to think of the investment that is not that much risky and of which has low competition..... sijui kama ipo lkn fikiria kwanza kwa undani...kwahesabu za karibu ni kuwa kila mwezi rejesho ni 833,333.00 Tsh hii siyo hela ndogo.......think twice una invest biashara gani itakuzalishia 833,333.00 kwa mwezi rejesho na faida yako juu ya hiyo rejesho
Kwani amesema anaenda kufanya biashara? Mchanganuo wa nini???
 
hapo hamna kitu, unaleta ujinga wa dini kwenye science!!!!!....hakuna cha kuomba, hapa ni science tu! Ukipanda juu ya mti ukajiachia ,utaanguka utakufa, hakuna sala wala swala ala Mungu atakunusuru...you will face the wrath of gravity....utakufa instantly...biashara itakufa instantly...
Nimeishi,nime experience uchawi kwenye biashara chief. Una haki ya kusema ni ujinga kutokana na experience za lifestyle yako lakini sio kuleta outright dismissal ya hoja yangu.

Anyway kwa pesa hiyo mdau anaweza kuagiza truck ya gazeti toka South Africa kwa m36 kila kitu. Huko Tz atauza 45-49 m kwa mzigo wote ndani ya siku 30. Pia kuna biashara ya mafuta kama vaseline,Nivea lotion/deodorant, kuagiza pombe Kali nayo ni big money.

Kazi za kufanya zipo lakini ibada,matambiko au ndumba za ulinzi muhimu. You must be strong spiritually kwenye harakati za utafutaji
 
Wapi kasema anataka kufanya biashara?
 
  • Matajiri wote wanakopa​
  • Wenye viwanda wote wanakopa​
  • Mkopo wa muda mrefu huwa ni faida kwa mabenki​
  • Kwa mtu anayetaka kufika mbali mkopo hauepukiki​
  • Muhimu ujue huo mkopo unaenda kuwekeza kwenye nini​
  • Kama mpambanaji, nakushauri chukua huo mkopo ata ukishindwa kulipa watakata kwenye akiba yako ya kustaafu.​
  • Kwa wale pia wenye magonjwa yanayoweza kuwapeleka mbinguni muda wowote na wana nafasi ya kukopa kupitia ajira zao; nawashauri wakope mkopo wa muda mrefu kwa faida ya familia zao; bima italipa.​
 
Sasa unataka ushauriwe nn kwanza akuna anaejua mazingira yako
Akuna anaejua unataka kuifanyia nn
Akuna anaejua unaingiza kias gan kwa mwezi
Akuna anaejua mzunguko wa iyo shuguli unataka fanya

Nazan km unataka ushauri tafuta watu wako wa karb rafiki familia au wafanyakaz/ wafanyabiashara wenzako ndo wakushauri sabu hao ndo wanajua situation yako nzima

Na km ukitaka humu wakushauri bas weka kila kitu azalani (wazi ) ili wajue wanakushauri nn

Afu sjui kuna watu wengne mnakuaga vilaza viazi yan unataka kopa 50 million af unatafta ushauri kwa watu ata usio wajua na wakat mwingne unaomba ushauri kwa watu ambao hawajawai fanya biashara
 
Back
Top Bottom