bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Achana na mikopo bank utakuwa masikini,bank zipo kwa ajili ya kufilisi watu.
Wahanga ni watumishi.
Wahanga ni watumishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nakwambia kitu ninachokijua na practical issue si kubumba, sawa.Wew bana,
Hio 16% ni kwa mwaka mmoja tu, endapo angechukua mkopo wa mwaka mmoja ndio hesabu ingekuja hio unayowaza wew,
Ila kwa kuwa ni miaka 9 hapo hesabu nyingi zinaingia katikati mambo ya reducing balance na ndugu zake ndo wataleta hio riba ya juu,
Japo kimahesabu ilibidi ije 72M sijui yeye kafanyaje kupata hio 90M
Chukua ushauri huu.Hapana mkopo unatakiwa uuweke kwenye biashara inayoendelea tayari yaani uongeze liquidity, huduma, bidhaa n.k ila sio kwa uwekezaji mpya. Ni risky sana kufanya kitu kama hicho maana mpaka uwekezaji uanze kukulipa riba inapanda tuu utajikuta 50% ya faida latika miaka hii 9 inaishia kwa riba na hapo ni kama biashara itakua ina exist in 9 years!!
Wacha akope tupate nyumba za mnada za bei rahisi.Achana na mikopo bank utakuwa masikini,bank zipo kwa ajili ya kufilisi watu.
Wahanga ni watumishi.
Riba haramu kivip HV uanjuwa wazungu na wachina wanaendesha biashara kwamikopo ila wee maskini hujui HiliRiba haraam ndio maana wengi huwa hawafaidiki nazo hizo hela
Sasa hapo miaka tisa umefunga nao ndoa bank ya nini
Hyu akifungua hdw anapata hyo pesa na analipa kbsa huo mkopo tatizo Ni mkopo wa Muda mrefuTake your time to think of the investment that is not that much risky and of which has low competition..... sijui kama ipo lkn fikiria kwanza kwa undani...kwahesabu za karibu ni kuwa kila mwezi rejesho ni 833,333.00 Tsh hii siyo hela ndogo.......think twice una invest biashara gani itakuzalishia 833,333.00 kwa mwezi rejesho na faida yako juu ya hiyo rejesho
Chukua, alafu tafuta demu mmoja mkaliiii, kamle tiGoHabari za asubuhi wadau.
Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90.
Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
Kama hajui kumeki sabjecti bado kichwa lazima kiwake motoWakati tunasoma hesabu wew ulikuwa unaweka vioo chini ya sket za wadada 😂😂😂😂😂😂😂
Btw, hio uliofanya wew ni kwa mwaka mmoja, kwa kuwa ni miaka 9 inabidi utumie ile formula ya kutafuta interest ambayo ni
I= PRT/100
P kianzio au Mkopo
R Riba
T Muda ambapo katika kesi yetu ni miaka 9
Kwa biashara tusikope ? Shida ya saccos mambo mengiMkopo wa bank usizidi miaka 3 na kukopa iwe ni dharura ambayo huna jinsi.
Mfano ada, matibabu.
Bank haipo kwa ajili yako.
Angalau saccos Wana nafuu
Hahahahaha ila wee mama nakuelewaga snaaUsichukuwe ni pesa ndogo sana hiyo.
Kopa pesa hata wakiuza nyumba yako utaposhindwa kulipa inakuwa fair.
Kopa million 500.
Saccos foleni,Kwa biashara tusikope ? Shida ya saccos mambo mengi
Kwa Calculation za UTT ule mfuko ambao utakuwa unachukua kwa mwezi salio. Unaonza kutoa ikifika 10 kwa hiyo 50M utakuwa unachukua Tsh ngapi kwa mwezi. Au hujaufanyia utafiti huu.Lengo langu haswa Mkuu ni kupeleka UTT
Bado uko sahih SanaKinachotazamwa kwenye mkopo siyo nyumba tu.
Kuna vigezo vingi, wenyewe wanakusomesha.
Benki wanataka kukopesha, ndiyo kazi yao. Bila kukopesha watafilisika.
Nahitaji ufafanuzi hapa mkuu nina akiba yangu nataka kuifanyia biashara nyingine tofauti na ninayo fanya. Hebu fafanua kuhusu TentChukua mwanangu, alafu toa 10M katengeneze Tent za kukodisha 5, kwa mwaka jiwekee kurudisha mkopo kwa kiasi cha 10M ndani ya biashara zako tu. Tent pekee kwenye hio 10 zinakupa 5M, hio 5M nyingine angalia 40M utaiwekeza wapi.
Mkuu nikushukuru kwa elimu uliyoitoa sababu umenipa mwanga kwenye haya mambo ya mikopo.Eddo nakupongeza na nlitaka niache watu wanaofikiri wanajua wabaki na ujinga wao.
Fomu za mikopo ya benki huwa zina clause ambazo zina maandishi madogo sana, huko kuna interest na compaunding interest.
Usijidanganye kuwa mkopo wa 50 M utalipa only 16%.
Kuna underlying charges nyingi sana mpaka legal fee, processing fee, insurance unaweka wewe na hapo afisa mikopo anataka laki 5.
Sikukatisheni tamaa ila huku mahakamani kila siku nyumba zenu zinauzwa hamkomi.
Ukitaka kukopa kapate ushauri wa wanasheria.