Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Ulifanikiwa kupata baada ya kutimiza mambo gani mkuu, tusimulie mchakato ulivyokuwa.....
 
Wanafanya siku hizi..zamani ndio walikuwa hawafanyi au bank wenyewe watume bank statement wenyewe from official email na responsible person wa bank.
Mambo yalienda vipi kwa upande wako mkuu katika ufatiliaji wa Visa
 
Nyuzi kama hizi wajanja hawachezi mbali, Infos nyingi balozi wanaziverify hasa BS, Peleka documents za uwongo, unapigwa bani la miaka 10 kwa nchi kama US
Si mchezo mkuu inabidi upate mtu waku ku sponsor kama huna uwezo
 
Nenda kurasini kwa dr anna makakara
 
Apply chuo, timiza mashart yote.utapata visa ya kwenda kusoma. Ukifika ufanye akili yako itakavyokutuma.umakini unahitajika.
walituongezea mashrt makali mno.
kwny acc yako lazima uwe na minimum ya kiasi fula for the past 3 months, anayekusomesha naye awe na mshiko wa maana unaoendana na gharama za chuo na kuishi kwako kule
 
walituongezea mashrt makali mno.
kwny acc yako lazima uwe na minimum ya kiasi fula for the past 3 months, anayekusomesha naye awe na mshiko wa maana unaoendana na gharama za chuo na kuishi kwako kule

Masharti ni makali kweli kweli

Kwa Canada uwe na Ada ya mwaka mmoja plus $10,000Cdn total kama $25,000cdn kwa mwaka lakini inategemeana na ada ya chuo chako
 
walituongezea mashrt makali mno.
kwny acc yako lazima uwe na minimum ya kiasi fula for the past 3 months, anayekusomesha naye awe na mshiko wa maana unaoendana na gharama za chuo na kuishi kwako kule
Duh
 
Naona kwenye uzi huu watu wengi wanazungumzia kwenda ughaibuni lakini maelezo machache sana ndo ya uhakika.
Kwa ufupi viza kwa sasa nchi yeyote ya maana si rahisi,na hii corona imezidisha ugumu ukitilia maanae status yaTz na corona haijulikani. Kwanza sahau kabisa kutumia viti feki kuombea visa,utakosa.
Visa za kutembea au za uanafunzi,bado ngumu sababu wanajua wengi wazamiaji,has nchi za Usa na canada, ulaya hasa uk wana masharti ya ovyo na wanataka kozi utalayoenda kuisoma haipatikani bongo pia uwe umelipia kiwango flani cha fee.Ili upate urahisi,kozi iwe undergraduate au graduate (degree ya 1na masters),ieleweke international student uk anaweza kulipa ada ya kuanzia £10,000 kwa mwaka mpaka £38,000 kwa mwaka kutegemea na course na chuo ulochagua.
Visa ya kutembea pia bahati nasibu,unaweza ukapata barua ya mwaliko,cheti cha nyumba,pesa bank na mwenyeji bado wakakunyima.
Njia ya uhakika zaidi,ambayo inahitaji uvumilivu ni moja tu,Ndoa.
Ukipata mwanamke au mwanamme anaeishi usa,canada,uk australia,germany,france you name it,kama anafanya kazi ya halali,analipa kodi,ana sehemu ya kuishi na ana mkataba nayo akaamua kuoa au kuolewa na wewe ulie bongo,wewe wa bongo hutakiwi kufanya mambo mengi,yote anamaliza yeye.hii mdo njia nyepesi kuliko zote unazosona hapa,sababu ukipata viza ya ndoa ukifika unapoenda unaweza kufanya kazi moja kwa moja tena ki harali kabisa.ukasoma ukitaka na unaweza kurudi kwenu mda unaotaka.
Wabongo wengi wapo izo nchi na uraia wao na wana uhitaji wa wake na wengine waume,tatizo hatuaminiani,lakini ukimpata atakaekuamini utashangaa utakavyopanda ndege ki uraini.
I speak from experience na wala sijimwambafai.
 
Mambo yamezidi kuwa magumu...
Mkuu ulipata mzungu?
 
Eti watoto wa mbwa[emoji1][emoji1]
 
Kama mama itakuwaje maana majina hayafanani
 
Wanafanya siku hizi..zamani ndio walikuwa hawafanyi au bank wenyewe watume bank statement wenyewe from official email na responsible person wa bank.

Suka mchongo na mtu wa bank mbona easy tu. Counterfeit BS zenyewe tunatoa huko huko bank zina muhuri kabisa wa branch manager. Bongo hii hata mhuri wa Ikulu unapata ila for some reasons watu mnaona banks hazigusiki.

Nasisitiza katika kughushi usiishie kwenye docs tu inabidi ujue jinsi ya kuziba weak links zote na hiyo ndo changamoto yenyewe.
 
Reactions: Pep
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…