Ninatoa dollar $1000 kwa atakaenifanikishia Visa hii

Nina dogo kaferi certificate sijui pakumpeleka bongo naona pagumu sana na passport anayo nilimpatia mwaka wa jana na anapenda sana mpira na magemu ya mpira nikamuwazia mpira bongo atoki labda nchi za ulaya ata hivyo ata akienda kubeba maboksi sio mbaya mnaweza nisaidia hili wakuu
 
Kiranga ni mtoto wa mjini na nahisi amechanganya maisha ya uswahilini ila ni mtoto wa kishua
the guy is genius
 
nimetoka kumwambia hilo jambo mdau fulani huko post za mwanzo akanibishia
Australia na mambo ya bank statements wapo makini sana , enzi hizo walikuwa wanapiga simu bank kuulizia balance za accounts zinazo ku sponsor , siku hizi mambo ni ATM
 
Concern yake kubwa Kiranga ilikuwa kwa nini jamaa anataka kutumia fedha kwa mambo ambayo ukifata tu utaratibu utapata visa kwa fee ndogo tu
kiukweli mimi hapo ndipo nilipoliona tatizo, lakini pia ukisema mtu kama kiranga akupe abcd za kwenda nje , kutegemeana na sababu kadhaa anaweza asiwe wa msaada kwako, ninaamini kwa the way anavyo behave kiranga anaweza kuwa alikwenda states kwa visa ya studies , sasa mtu kama huyo anaweza asiwe na msaada kama mtu anaplan kwenda kufanya biashara huko Usa
 
@Bufa
Mimi ni muhanga wa kukosa visa ya Australia, hicho unachokiongea kuhusu Bank statements forgery kwa ubalozi wa Australia hutoboi , they are very smart at it
kwanza wanataka immediately funds , hizi ni pesa wanataka ziwepo kwenye account yako au inayokufadhili , kwa hiyo usipokuww na vitu kama Atm cards upon arrival , wanaweza kukku deport ,how can you acces cash then? kwa case yangu sponsor alinipa statement tamu, nikaenda nayo ubalozini , bahati mbaya sponsor akapata na dharula iliyomfanya atoe pesa nyingi , na bahati mbaya zaidi wale embassy wakapiga simu bank kuulizia salio ikaonekana pesa ninayoclaim haipo kwenye account tajwa na nikanyimwa visa, ilikuwa mwaka 1999 na hadi leo nina hiyo copy ya email.
 
wapopo sio level zetu , wale kwanza shule. ipo!
halafu hawaogopi mazabe maana wana support za nguvu kila sehemu walipo
 
Mkuu,

Kuna mengi ya kuchangia.Nachelea kuchangia zaidi.Kuna mwamba kaniambia niko Buza niache utapeli.

Nimemkubalia yaishe sina muda wa kuanza kubishana na mtu juu ya hilo.

Kwa hiyo niko Buza sasa hivi.
 
Juzi tu CANADA wamepiga simu Bank kujua kama kweli nina account pale na ile BS ni ya kwao

Ndio maana kun kitu kinapelekwa kinaitwa Bank Certificate unakiambatisha na BS
Labda atakuelewa ,
Bs forgery ni kitu kilichopitwa na wakati , ukipractise forgery kwa sasa ni kujitafutia mabalaa tu .mimi walipiga simu benki mwaka 1999 enzi hizo visa tunaombea Nairobi ,
Bs haikuwa feki ila sponsor alitoa pesa baada ya kupata dharula akichukulia itakuwa poa tu
Visa sikupata na sababu walisema account haina pesa , , mind you bs niliyo submit kwneye documents ilikuwa na pesa ya kutosha the day before applying.
 
Kwenye mambo ya mpira, akipata chance ya kwenda belgium, au france kama anakipaji atafanikiwa
 
Anza kwenye unafuu kwako mkuu.
Mkuu unafuu kwangu hapa naona unaangukia kwenye zile nchi ambazo Tz tunaweza kuingia bila visa au visa on arrival daah!

Ila pia nafikira Qatar na UAE , hizi kidogo si zinaunafuu kupata visa?
 
Mkuu unafuu kwangu hapa naona unaangukia kwenye zile nchi ambazo Tz tunaweza kuingia bila visa au visa on arrival daah!

Ila pia nafikira Qatar na UAE , hizi kidogo si zinaunafuu kupata visa?

Take your time. Kusanya docs taratibu. Tafuta connections. Tafuta funds, anza application.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…