Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.
Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.
Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:
1. Hawana kisirani sawa na wakimya
2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea
3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia
Benaya- my love usinikosee tena ee[emoji28][emoji28]
4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote[emoji8][emoji8]
5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.
Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.
Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa[emoji16][emoji16]