Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wavigodoro[emoji16]
Neno " mcharuko" ni kamba tu ndio maana umevutiwa kuja..Hapo umezungumzia tabia za wadada wacheshi na siyo micharuko mkuu mtoa mada..!!
Micharuko sijui mapepe haijakaa kinidhamu kabisa..!!
Nb; muambie mdada wewe ni mcheshi uone reaction yake, kisha muambie wewe ni 'mcharuko ama mapepe' uone moto..!!
Habari za leo wana chit-chat wenzangu.
Awali ya yote niwape pole Watanganyika wenzangu...kwa yaliyotupata.
Tuachane na hayo tuendelee kujipooza na mengine.
Kama kichwa cha somo kinavyojieleza, mimi Benaya- ninavutiwa sana na wanawake micharuko yaani wacheshi na wenye mioyo wazi.
Sababu kuu ya kuwapenda hawa viumbe ni kwamba:
1. Hawana kisirani sawa na wakimya
2. Hawatunzi mabaya mioyoni mwao ukimkosea anakufungukia na mechi zinaendekea
3. Ikiwa mlikosana mkarekebisha yaani unapewa mechi tamu sio ya dunia hii huku akikwambia Benaya- my love usinikosee tena ee[emoji28][emoji28]
4. Hawa viumbe wana uwezo wa kukufanya mwanaume mwenye furaha majira yote[emoji8][emoji8]
5. Ukimpelekea moto vizuri yaani wanaipokea kwa mbwembwe na vifijo balaa.
Wanawake micharuko mna mbingu yenu ninawapenda sana.
Cute Wife wewe ni mmoja wao lkn achana na vichaa[emoji16][emoji16]
Kama unaangia our story yule rahmet atakuwa na undugu na mleta mada mana yeye hapatani kabisa na wasichana watulivu
😅 wangekaa kihasara kidogo zaidi tu, ningeruka nao chapNaona umeoata sapoti ukajihudumie sasa😅
Kwa lugha rahisi sema unavutiwa na wanawake waswahili
😅 😅 🙌 ushamaliza , maana ushamtag kabisaMcheki Cute Wife akurushie ka picha cha kushuka nacho😅
Mswahili ina maana nyingi [emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wabongo wote waswahili uduguu wangu