Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Ninavutiwa sana na wanawake micharuko A.K.A wacheshi

Mwanamke yoyote anaeweza kuhimiri flirting zangu za hapa na pale huyo kwangu hua ni rafiki wa kudumu, wale kidogo kanuna kidogo kakunja ndita siwawezi
Daah niliwahi flirt na demu mkimya nilimpiga chini haraka, napenda demu mcheshi na aliye huru kwangu
 
Mwanamke yoyote anaeweza kuhimiri flirting zangu ni rafiki yangu wa kudumu, cause Mimi ku flirt ni tabia yangu sasa siwezi kua na mtu amepooza uki flirt anachonga ndita piga chini
Jambo lingine, wakimya wengi matukio yao ni hatari.
Unaweza kuwa na mpenzi mkiya ujiamini hawezi cheat, ipo siku utajinyonga ukigundua umepigwa matukio ya hypersonic😂
 
Back
Top Bottom