frema120
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 5,098
- 1,341
Ngoja tuendelee kusubiri na uzi wa yule dada yetu juu ya sakata hili. Ninaamini na yeye atajitokeza tu muda si mrefu sana!
hakuna kitu pale kachoka tu na calrolite zake...
Ngoja tuendelee kusubiri na uzi wa yule dada yetu juu ya sakata hili. Ninaamini na yeye atajitokeza tu muda si mrefu sana!
jadili hoja ya mwampamba. hayo uliyocomment hapa si uzi wake.
:
Kwanini wasigawanywe hawa au wote katika hawa hawamtetei LUDO..? Ama kama si hawa kwanini hawatafutwi mawakili wengine kwa ajili ya LUDO na badala yake akaachwa anaangamia pamoja na kujitolea kote kuijenga na kuitetea CHADEMA, pamoja na utiifu wote wa kuwalinda na kutunza siri za viongozi na siri za Chama hicho.
Kamwene apolinary,
Nitamwaga mboga soon. Stay tuned.
Hiyo technology ya kurekodi kwa vikamera vidogo imetokea huku magharibi, which means kuna siku kombora litadondoka hapa na ndio utakuwa mwisho wa chadomo.
mkuu naona umechanganyikiwa. unaacha kujadili mada unadandia watu. hizo ndizo dalili za mwisho za watu waliochanganyikiwa. kumbuka mwampamba alikuwa mtu muhimu sana kwenye chama chenu kuliko hata wewe kajambanani. kama unaona mwampamba anasema uongo jaribu basi kutupa ukweli
Hii habari ya Lwakatare niilikuwa naita tu nikisoma ila kwa sasa ngoja niweke kituo. Napenda kukufahamisha mtoa mada kwamba wewe na lile kundi lenu mnahusika na hili sakata la ku-fake ile clip ya Lwakatare ,haya maelezo unayoyatoa hapa ni dhahiri kuwa unajua abc... za mchezo ule.
CDM ni watu makini kwani wamegundua upishi ule kuna pandikizi alivaa ngozi ya kondoo anahusika huyo Ludovick. Inasikitisha kuona mnatokwa na povu wakati mambo yashaenda mahakamani, subirini muone hii tamthilia final episode itakuwaje coz mmeandika script masahau kuwa Director wa tamthilia sio nyie na hamjaingia naye mkataba wa kutobadili mnaudhui ya tamthilia.
My take:
Wewe una akili ndogo sana ,ungekuwa una akili za kutosha huu ----- ungempatia mtu mwingine awasilishe wewe uweke input kwa kutumia ID ya Tuitemeke
MTAZAMO.
Unaposema mwenzio amechanganyikiwa inabidi uwe makin sana mana huenda wewe ndio uliyechanganyikiwa. Ukienda wodi ya vichaa, wao wanajiona ndio wazima ila sisi tulio nje (tunaojiona wazima) wenzetu/vichaa wanatuona ndio tuliochanganyikiwa. Nilikuwa nakukumbusha tu.mkuu naona umechanganyikiwa. unaacha kujadili mada unadandia watu. hizo ndizo dalili za mwisho za watu waliochanganyikiwa. kumbuka mwampamba alikuwa mtu muhimu sana kwenye chama chenu kuliko hata wewe kajambanani. kama unaona mwampamba anasema uongo jaribu basi kutupa ukweli
mkuu naona umechanganyikiwa. unaacha kujadili mada unadandia watu. hizo ndizo dalili za mwisho za watu waliochanganyikiwa. kumbuka mwampamba alikuwa mtu muhimu sana kwenye chama chenu kuliko hata wewe kajambanani. kama unaona mwampamba anasema uongo jaribu basi kutupa ukweli