Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Asante sana Mtela Mwampamba kwa kutujuza mambo hayo mazito kuhusu CHADEMA. Mimi naamini yote uliyoeleza hapa ni sahihi na ni ukweli mtupu ila sitashangaa kama post yako ikishambuliwa au kupuuzwa kwamba ni ya kutunga kwakua kuna lundo la vibaraka wa CHADEMA humu JF ambao wanatumwa kufanya kazi hiyo.

KUHUSU KIJANA LUDO, wewe unategemea watakubali kwamba wanamjua? lazima wamkane ili kuondoa nexus kati yake na wao pale makao makuu lakini deep inside their hearts wanajua kwamba LUDOVIC ni kijana wao ila kwakua alikua undercover ni rahisi kumkana kwakua public haikujua kwamba yuko hiyo defence and security portfolio ya CHADEMA.

Hata huyo LWAKATARE wanaweza kumkana hapo baadae. Kila siku wamezoea kuudanganya uma kwamba kuna njama zinapangwa dhidi yao na kudai kwamba wasiri wao wako serikalini ili waaminiwe na uma; huu ni moja kati ya uongo mkuu ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa CHADEMA.

Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa credible na za ndani hivyo;hakuna kabisa. Wataishia tu kupata vitaarifa vya kuokoteza kutoka kwa watu wanaojifanya wako Ikulu ambao pengine ni wafagizi au vibarua. Kuhusu kesi ya Lwakatare, tuiache sheria ichukue mkondo wake.
 
Wewe Mtela Mwampamba ni mfa maji endelea kutapatapa, ila uwe makini maana magamba hawaaminiki angalia walivyomfanya Chacha Wangwe na kusingizia Chadema.

Utatumika kama dodoki halafu watakutupa labada kama wakupa fedha zikusaidie kwa muda.
 
Last edited by a moderator:
kwakweli hasa kama aliyefanya jambo hili angekua siyo mwanachama wa Chadema,bac hapa jf pengekua hapatoshi kwa matusi na maapizo ya Chadema,ila leo kimya kabisa

post zote hizi bado unaona kimya!Ama kweli pemba kwa Seif Sharif,
 
Mwili uko CCM, roho iko CDM.... Jadili mambo yanayohusu chama chako CCM. Kwani wewe ndio mtetezi wa wanachama wa CDM?. Ludo hajalalamika kama amesalitiwa, wewe kimbelembele cha nini?. Je akimtaja Mwigulu ndiye aliyemsaliti, utaficha wapi shida zako?.
 
Kwa hiyo ndio mchambuzi mwenye akili kutulazimisha kuamini kwamba Ludovick ni mlinzi wa Slaa
hahaha haujui kijana uko mbali sana na CDM ungekua karibu na CDM ungemjua LUDO pale makao makuu alikua anafanya nini. muulize Benni Saanane anamfaham vizuri sana Ludo.hahaha wakati ishu ya ludo inachomoza Saanane akabaki kuguna tu watu wakatamani kujua ama benn anamjua ludo. muda utafika hata wale wasiotaka kuelewa wataelewa tu no way.
 
ahaaa!kumbe huyu ndiye mliyemtuma akamrekodi lwakatare,then ninyi gambaz mkaja kumalizia kuweka kale katechnolojia ka "bad lip" !uzuri mmoja itv,star tv,chanel ten,tbccm daily huwa wanarusha tamthilia ambazo waigizaji wanakuwa wanazungumza lugha yao,lakini sisi tunawekewa kiingereza.i mean wanabadili lugha according to walaji.sasa msituone waTZ ni mapimbi na hatuelewi kamchezo kenu mnachomfanyia lwakatare

mkuu inaonekana wewe ni zaidi ya Tundu Lisu maana TUNDU kakubali kuwa video ni sahihi ila hajaona kosa katika video hiyo linalomfanya Lwakatare ashtakiwe sasa wewe unasema video ya kutengenezwa
HUU NDIO UPUUZI WA MAHABA KUKUZIDI


SAKATA LA MH:TUNDU LISSU KUJIFUNGIA CHOONI KUKIMBIA WAANDISHI WA HABARI

ZIPO taarifa kwamba Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, wiki iliyopita alijifungia chooni kukwepa waandishi wa habari waliotaka kauli yake juu ya video hatari ambayo inadaiwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa chama hicho, Wilfred Rwakatare, alirekodiwa akieleza njama za uhalifu.
Tundu ambaye ni Mnadhimu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, amesema kuwa maelezo yaliyotolewa kwamba alijificha chooni kwa muda wa saa mbili si kweli, kwani hawezi kufanya hivyo.
“Jamani mimi na umri wangu huu nawezaje kuwakimbia waandishi wa habari? Siku zote mimi nafanya kazi na waandishi wa habari,” alisema Lissu na kuongeza:
“Ofisi yangu pale Ofisi Ndogo za Bunge, Dar es Salaam ina choo ndani, nikiwa ofisini kama mtu yupo nje wala hawezi kujua kama mimi nipo chooni. Nadhani hizo taarifa za kusema nilijifungia chooni ni za upotoshaji.

“Halafu haiwezekani mimi nikimbie suala la Rwakatare kwa sababu tayari nilishalitolea maelezo. Mpaka sasa, mimi kama mmoja wa mawakili wanaomtetea, nina maswali yangu kwa jeshi la polisi, kwani ile video haioneshi uhalifu wowote ambao umetendeka.
“Ni kweli niliweka miadi ya kuzungumza na waandishi lakini nilisahau. Nakumbuka jioni kabisa ya siku hiyo, nilipokea SMS ya mwandishi, akiniambia alikaa sana Ofisi Ndogo za Bunge, Dar es Salaam mpaka akachoka, kwa hiyo alishindwa kuniona.”
Wikiendi iliyopita, iliripotiwa na mitandao mbalimbali pamoja na gazeti moja la kila siku kwamba Lissu alijificha chooni kwa saa mbili kukwepa kuonana na waandishi wa habari, waliotaka ufafanuzi wake kuhusu kile kinachoendelea juu ya kesi inayomkabili Rwakatare ambaye ni Kiongozi Mstaafu wa Kambi ya Upinzani Bungeni.
 
Ajuza CCM na MACCM wote chali deal limebuma kabla halijafika popote mapropagandist wa CCM wote mukichwa hazimo wengine malaya,wengine wezi,wengine hawana mallezi ya baba zao what do you expect kila deal buma ha ha

Naona wewe ulipata malezi ya baba yako kwa lugha hii!
 
Kuna watu wa kuwasikiliza sio Mwampamba,anahangaika sana na CD zake za kuchoma kwenye NERO.
 
Kwa kuwa tu Marekani wanafanya haimaanishi kwamba ni sawa, ukichukulia Marekani na Tanzania ni nchi mbili tofauti, zenye tamaduni tofauti, labda kwa Wamarekani ni sawa na hawaoni tatizo lkn kwetu sisi linatukwaza na ndio maana watu wengi wanailalamikia sana CCM kuhusu hili, ajira za kupeana kindugu!

sijakukatalia mkuu, nimecomment kama mechanism inayowapa madaraka iko fair hapo haina tatizo.
Mara nyingi unapokulia kwenye mazingira ya kisiasa uwezekano mkubwa kuwa mwanasiasa,matabibu kurithi utabibu nk nk.
Kitu cha kunote huyo aliyepata anastahili?au ni kwa sababu ya ujamaa?Ambacho naamini ndiyo kinachokera,si wewe peke yako,lakini kumbuka mkuu ukikaa machinjioni si lazima utanuka harufu ya nyama?
 
Bro vipi wewe ni Kilanja elect wa JF??Mbona umeanza kuexercise powers ambazo huna mamlaka nazo?? Unaanza kunipa mashaka, au nyinyi ndo lile kundi mnaolipwa kupambana ndani ya mitandao ya kijamii???? Nkiona mtu hapungui humu toka asbh had midnight, kuanzia sasa ntachukulia tu ni lile kundi la wapambanaji ndani ya mitandao ya kijamii. Sikujua kama watu wanalipwa kwa kutoa wenzao povu! Na mimi naombeni hiyo ajira ya upambanaji ndani ya mitandao ya kijamii.

dah,hata mi nakuunga mkono,kumbe kuna watu wanalipwa humu...hebu mtupe hilo deal muone kazi MONEY IS MONEY
 
----! Wewe mdogo wangu mwampamba ni moja ya material ambayo imeshakuwa disposed! Huna moral authority ya kuleta hoja ya kimagamba kwa minaji ya ukombozi. Mimi na wenzangu wapenda maendeleo na amani hatuna imani na wewe hata kidogo na pia uwezo wako wa kufikiria umejaa usaliti na chuki!

Usitake kutudanganya una uwezo wa kutetea mtu ambaye kwenye maelezo yako unampiga vijembe vya chini kwa chini. Wewe na baba yako mlifukuzwa chadema kwasababu ya njaa na usaliti, Endeleeni kula matapishi yenu kwa magamba



Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kumbe ni mwalimu wa sekondari?ndo maana ni mropokaji bila kupima mantiki, hata kama ni mwana harakati; huna falsafa ya kujenga mantiki, huo uzi ulioweka unataka CDM wafanye nn?kawaombe wamsaidie imapasavyo kuliko kuandika kwenye mitandao.kwanini wewe usimwekee wakili umsaidie maake unamhafamu na milikuwa wapambanaji pamoja?
 
hahaha haujui kijana uko mbali sana na CDM ungekua karibu na CDM ungemjua LUDO pale makao makuu alikua anafanya nini. muulize Benni Saanane anamfaham vizuri sana Ludo.hahaha wakati ishu ya ludo inachomoza Saanane akabaki kuguna tu watu wakatamani kujua ama benn anamjua ludo. muda utafika hata wale wasiotaka kuelewa wataelewa tu no way.
Mbona sielewi kabisa yaani unavyounganisha inaonyesha ni part ya masalia haswa yule mwanzisha chauma aliyesamehewa na Mbatia juzi hakuna mwana JF wa mwandiko ka huu any way ahsante kwa taarifa
 
Asante sana kwa kutujuza kaka. Hawa watu ni lazima wamkane huyo kijana kwakua video ya lwakatare imewashika pabaya; hawana pa kutokea na badala yake wanapiga kelele tu kwamba ni feki wakati aliyekua anaongea pale ni lwakatare mwenyewe.
 
Too little, too late and too poor.
Sijaona lolote lenye ukweli hapo, zaidi ni chuki binafsi dhidi ya Dr.Slaa tu.

Vijana nendeni mkajipange upya, hii single ya ugaidi imeshagonga mwamba mzito.
Tazama wenzako walipoanzia kutoa Album ambazo bado zilishindwa ku-hit,

1/Slaa katumwa na makanisa agombee urais!!

2/Slaa kaiba pesa za kanisa katoliki wakati wa ziara ya papa!!!

3/Slaa kaiba mke wa mtu!!

4/Slaa bado ana kadi ya CCM tena bado anailipia mpaka 2016!!!
Naona umeamua kujishushia hadhi kwa maksudi mazima, we discuss issues here sio personal attack, unataka tukufananishe na Juliana Shonza?? Mambo ya kudiscuss watu haya tungewaachia watu wenye uelewa wa chini kabisa ambao level yao ya kufikiri imeishia kudiscuss watu. Wewe elezea issue nini.

Huwez ukaiba fedha kwenye msafara wa Papa afu kanisa hilohilo lililokufukuza kwa kosa hilo la wizi, likakutuma uwe rais. Mbona umetawanyika hivyo?? Put yourself together, usijicontradict kama huna coordination kati ya mkono na brain! Jizoeshe kutoa kauli moja na isiyojicontradict.
 
Back
Top Bottom