Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Mbona sielewi kabisa yaani unavyounganisha inaonyesha ni part ya masalia haswa yule mwanzisha chauma aliyesamehewa na Mbatia juzi hakuna mwana JF wa mwandiko ka huu any way ahsante kwa taarifa

Tatizo bendera fuata upepo wewe.
hilo ndo tatizo lako tu.still uko usingizini.
 
Mwili uko CCM, roho iko CDM.... Jadili mambo yanayohusu chama chako CCM. Kwani wewe ndio mtetezi wa wanachama wa CDM?. Ludo hajalalamika kama amesalitiwa, wewe kimbelembele cha nini?. Je akimtaja Mwigulu ndiye aliyemsaliti, utaficha wapi shida zako?.

inawezekena mwapamba ameiweka hapa ili kufikisha ujumbe fulani kwa wanausalama na sivyo unavyodhani wewe.sasa ni wazi kuwa vyombo vya usalama hupitia humu na mwapamba amesema anamjua huyo ludo na kuwa aliwahi kuwa security wa chadema,hiyo inawapunguzia kazi makachero ya kupita mitaani wakijaribu kuconnect dots.mwapamba hivi sasa ni potential witness mahakamani.
 
Kichwa cha habari, kinatofautiana na yaliyomo, Mwalimu Mwapamba kwa nini usijipange ukaja vizuri kwa kujenga hoja?
 
Huwaga sina kawaida ya kuchangia thread zako na hata leo sichangii bali nakukumbusha tu "HUWEZI KUNIBADILISHA KUWA CHADEMA NDIO CHAMA PEKEE KITAKACHOMKOMBOA MTANZANIA NA MWISHO WA WATWANA WAKO NI 2015"
 
Mungu ni mkubwa, naona wameanza kutoka pangoni, kwajinsi jamaa alivyoandika inaonekana yeye ndiye aliye wasukia mpaka wanakamatwa, sasa kama ni mlinda usalama wa slaa wewe unataka aseme anamfahamu ili kutibua mbinu zao za kiusalama.
Wewe ulisha hamia ccm endelea kuvaa magamba yako waache wanaofanya ukombozi waendelee wewe twambie namna mnavyopanga kubambikizia kesi na utekaji na kungoa kucha

Jamaa ni vigumu kujua mbinu ambazo ukisoma masomo ya upadirisho hasa pale morogoro chuo cha upadri unafundishwa miko na utunzaji wa siri na zaidi mafunzo ya seminary mara nyingi, ni ya nidhamu ya hali ya juu hivyo asitazame upande wa kwanza tu maana upande wa pili kuna kilichojificha hasa katika maswala mazima ya usalama, pia maisha ni zaidi ya siana huyu ndugu asitumie vibaya mwanya huu kisiasa kwani majira huwa yanasifa moja ya kugeuka.

Ipo siku dunia itatambua ukweli wa siasa chafu za tanaznia Ipo siku watanzania watatoka katika mkono mchafu ya wadhalimu.daima udumu Tanzania

 
Huwezi kutaka kutupoteza na maana halisi ya Mipango ilivyo kwa Hisia zangu RUDOVICK ninaweza kusema ndo BUKOBA BOY ameingizwa kwenye kesi ili kutaka kuudanganya umma.
 
Huwezi kutaka kutupoteza na maana halisi ya Mipango ilivyo kwa Hisia zangu RUDOVICK ninaweza kusema ndo BUKOBA BOY ameingizwa kwenye kesi ili kutaka kuudanganya umma.

Muulize Saanane anamjua LUDO? wewe hauko makao makuu wako vijana wengi wanounga unga kwa kutumia ruzuku za chama wako makao makuu hawana cha kufanya hadi kufikia kuanzisha masalia yote haya ni kujiweka pale kinondoni kutegea kutumwa na Dr wakidai wanajitolea.
 
Binafsi huwa napata shida sana na mtu ambaye anaiponda CCM kuwa ni chama kisichofaa, anajiita mwanaharati anayepigania haki ambayo kwa wakati huo anaamini haipo ndani ya CCM.

Mtu ambaye amewaubiria sana Watanzania majukwaani kuwa wakitaka maendeleo ya kweli waachane na CCM.

Anakuwa mstari wa mbele kuanzisha taasisi za kisiasa ndani ya chama cha upinzani ili kuiua CCM.

Anajitolea kwa nguvu zake zote kukijenga chama alichonacho hili kuiondoa CCM madarakani.

Anaamini huduma za jamii zitolewazo na serikali inayoongozwa na CCM si sahihi kulinganisha na rasilimali za nchi na mda wa kujitawala wa Miaka 50.

Anadai vijana hawana ajira, umaskini umekidhiri, ufisadi na rushwa vimetawala serikalini, mfumuko wa bei uko juu sana, sarafu ya Tanzania inashuka kila kukicha, wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma muhimu, shule ziko katika hali mbaya kitaaluma na kimazingira, wafanyakazi hasa waalimu, manesi na madaktari mishahara haitoshi, na haitatosha mpaka wananchi watakopo iondoa CCM
madarakani na mengine mengi mabaya.

Alafu mtu huyo huyo kesho anaamia CCM na kuanza kupondo kule alikokuwa.

Je, haya aliyokuwa akiyaubiri kama mapungufu na madhaifu ya CCM yamekwisha ondoka?

Na kama hayajaondoka halikuwa anaubiri asichokijua na kukiamini?

Na kama alikua ajui anachokiubir na kukiamini ni kitu gani kilimfanya awe hivyo?

Je, ameshakanusha kuwa vyote alivyokuwa anaisema CCM ni vya uongo na sasa anaujua ukweli?

Aliwaponda CCM kwa ushaidi ameshatoa ushaidi wa yale aliyokuwa akiyakemea kuwa si sahihi?

Na kama hayakuwa sahihi kwa nini aliyahubiri sana?

Lengo lake hasa lilikuwa ni nini?
Huyu mtu anayesifia mashariki leo, akiiponda magharibi, alafu kesho anaisifia

Magharibi na kuiponda mashariki tena tumuamini?

Na kama tunamuamini tumuamini kwa lipi? La mashariki ama magharibi?

Na tukiamini moja wapo kati ya hayo lipi sasa ni sahihi?

Wana jamii kiukweli napata tabu sana na mtu wa namna hii hebu nisaidieni jamani.
 
Asante sana Mtela Mwampamba kwa kutujuza mambo hayo mazito kuhusu CHADEMA. Mimi naamini yote uliyoeleza hapa ni sahihi na ni ukweli mtupu ila sitashangaa kama post yako ikishambuliwa au kupuuzwa kwamba ni ya kutunga kwakua kuna lundo la vibaraka wa CHADEMA humu JF ambao wanatumwa kufanya kazi hiyo.

KUHUSU KIJANA LUDO, wewe unategemea watakubali kwamba wanamjua? lazima wamkane ili kuondoa nexus kati yake na wao pale makao makuu lakini deep inside their hearts wanajua kwamba LUDOVIC ni kijana wao ila kwakua alikua undercover ni rahisi kumkana kwakua public haikujua kwamba yuko hiyo defence and security portfolio ya CHADEMA.

Hata huyo LWAKATARE wanaweza kumkana hapo baadae. Kila siku wamezoea kuudanganya uma kwamba kuna njama zinapangwa dhidi yao na kudai kwamba wasiri wao wako serikalini ili waaminiwe na uma; huu ni moja kati ya uongo mkuu ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa CHADEMA.

Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa credible na za ndani hivyo;hakuna kabisa. Wataishia tu kupata vitaarifa vya kuokoteza kutoka kwa watu wanaojifanya wako Ikulu ambao pengine ni wafagizi au vibarua. Kuhusu kesi ya Lwakatare, tuiache sheria ichukue mkondo wake.

Wassira alituambia mwaka 2013 CHADEMA itakufa,how?Mwigulu alisema ana video inayoonyesha CDM wakipanga mauaji,iko wapi?
Upinzani imara kwenye nchi yeyote huifanya serikali iliyo madarakani isibweteke.Na majority ya wapenda mabadiliko tegemeo lao ni chadema,ni waZalendo na wanaipenda nchi yao,so kila atakayesupport chadema analipwa vipi wanaosupport ccm na serikali yake iliyojaa ufisadi,ubadhirifu,matumizi mabaya ya rasilimali za taifa?
Mwenye akili atagundua nani pandikizi
 
Mtela ulipangiwa shule gani baada ya kuhitimu shahada yako ya ualimu? Je uliripoti? 1.kama ndio ilikuwaje ukatoka huko?
2.kama hapana,kwa nn haukuripoti?

Wanafunz wanakosa walimu,wewe unatoka mapovu bure kwenye mitandao ya kijamii.WEWE NI MWL TENA KJN KBS, KUWA MZALENDO,NENDA KAFUNDISHE WATOTO,ACHANA NA MANGUO YA KIJANI NA KUPAYUKA PAYUKA OVYO.
 
Kamwene apolinary,
Nitamwaga mboga soon. Stay tuned.
Hiyo technology ya kurekodi kwa vikamera vidogo imetokea huku magharibi, which means kuna siku kombora litadondoka hapa na ndio utakuwa mwisho wa chadomo.

Seriously?
 
Mwampamba huna jipya! Propaganda zenu wewe pamoja na masalia wote na huyu kibaraka wenu aliyeko huku CHADEMA mtaumbuka na kuaibika muda siyo mrefu. Keep watching!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Asante sana Mtela Mwampamba kwa kutujuza mambo hayo mazito kuhusu CHADEMA. Mimi naamini yote uliyoeleza hapa ni sahihi na ni ukweli mtupu ila sitashangaa kama post yako ikishambuliwa au kupuuzwa kwamba ni ya kutunga kwakua kuna lundo la vibaraka wa CHADEMA humu JF ambao wanatumwa kufanya kazi hiyo. KUHUSU KIJANA LUDO, wewe unategemea watakubali kwamba wanamjua? lazima wamkane ili kuondoa nexus kati yake na wao pale makao makuu lakini deep inside their hearts wanajua kwamba LUDOVIC ni kijana wao ila kwakua alikua undercover ni rahisi kumkana kwakua public haikujua kwamba yuko hiyo defence and security portfolio ya CHADEMA. Hata huyo LWAKATARE wanaweza kumkana hapo baadae. Kila siku wamezoea kuudanganya uma kwamba kuna njama zinapangwa dhidi yao na kudai kwamba wasiri wao wako serikalini ili waaminiwe na uma; huu ni moja kati ya uongo mkuu ambao umekuwa ukitolewa na viongozi wa CHADEMA. Hakuna mtu anayeweza kuwapa taarifa credible na za ndani hivyo;hakuna kabisa. Wataishia tu kupata vitaarifa vya kuokoteza kutoka kwa watu wanaojifanya wako Ikulu ambao pengine ni wafagizi au vibarua. Kuhusu kesi ya Lwakatare, tuiache sheria ichukue mkondo wake.

Mkuu tanzama kwa jicho la upande wa pili huu sio wakati wa mwalimu mkuu taarifa ambazo zina ukweli kila siku zinatoka wewe tu ndio huzipati tuishie hapa.
 
Wewe si mtu sahihi wa kuleta maelezo yanayohusiana na CHADEMA, DR. SLAA au viongozi wengine wa CHADEMA kwa sababu huaminiki na pia una chuki binafsi na CHADEMA na viongozi wake.

Tunahitaji taarifa ya mtu mwingine kuweza kufikiria kama unachokisema ni kweli au la maana tayari kuna mengi, tangu utoke CHADEMA umeyasema kwa chuki kwa nia ya kujipendekeza CCM. Umekosa credibility!! Mtu kigeugeu, asiyeaminika, hata taarifa yake haiwezi kuaminika.
Ninadhani kipindi hiki ni cha subira zaidi. No research no right to say. Simfahamu Ludovic, sina sababu ya kumuonea. Wengine wanamfahamu, tusubiri mwisho kwani imeandikwa "tusihukumu' usije hukumiwa. Tumwachie Ludovic na Mungu wake.
 
Mwampamba huna jipya! Propaganda zenu wewe pamoja na masalia wote na huyu kibaraka wenu aliyeko huku CHADEMA mtaumbuka na kuaibika muda siyo mrefu. Keep watching!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Kibaraka mnayeisaka roho yake na marafiki zake?
Kazi mnayo
 
Back
Top Bottom