Ulivoanza maelezo yako ilionekana Rudo ni mtu wa hatari na ni adui yako kwani ndiye aliyeratibu babako kufukuzwa CDM, mwisho wa maelezo yako unaonesha sympathy ya hali ya juu kwake kiasi kwamba ungetamani kuwa wakili ili umsaidie.
Kwa hiyo unataka jamii ifanyeje? Imtafutie Rudo wakili au imwone Rudo kama mtu wa hatari kama maelezo yako ya awali yanavyosema? Unapojenga hoja, isome mara kadhaa ili ujiridhishe kwamba ina mashiko.
Nikushauri tu jambo moja; kwa kuwa umeshajipambanua kwamba uwezo mdogo wa kujenga hoja uwe unapeleka wazo lako kwa watu wenye akili wakusaidie kusadifu hoja, then uje upost hapa! Short of that unazidi kuanika udhaifu wako wa kufikiri kwa umma.