OMUSILANGA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 384
- 228
Mwampamba you are like a foolish dog which barks at the flying birds. Pole sana bro but hongera sana kijana mwenzetu mpiga dili, lazma utatoka tu mwaka huu.
Sehemu gani kasema kuwa Ludo ameshiriki huo mpango mchafu?[/QUOTE
Labda umesahau Kiswahili, na umeshindwa kumuelewe kada Mwambapa
It's SHOCKING.
Watu wengi na viongozi wa CHADEMA hawakutegemea kama mashitaka kwa Lwakatare na Ludovick hayatahusu Absolom Kibanda.
Hili la kutaka kufanya ughaidi kwa Denis Msaki imekuwa ni shitaka la kushitukiza mpaka viongozi wa CHADEMA wanashinda jinsi ya ku-approach swala zima. It's delicate, wakiteleza kidogo wanaweza kujikuta wanaanguka ndani ya dimbwi wa mashitaka. Siyo ajabu hata majibu sahihi wanakosa.
Kudanganya siyo kazi rahisi kama wengi wanavyofikiria.
Kibaraka mnayeisaka roho yake na marafiki zake?
Kazi mnayo
Huyu Mtera is insane, sana sana sana tena sana, na nadhani anahitaji kuhudhuria clinic for check up!!
ni Laana inamsumbua kuna kitu wamemfanya huko aliko si bure amesahau kuna mtu alimwaga kila kitu hapa JF kuhusu baba yake na mama yake diwani wa viti maalumu asiyejua kusoma wala kuandika Mrs ZeroBaba yako tunamfahamu mama yako pia na kwa ufupi familia yako, hivyo historia yako tunaijua zaidi ya uijuavyo wewe.Thread uliyoipost ni ya uongo na tunajua kwamba wewe (mtela Allam Mwampamba) na baba yako (Allam mwampamba) wote ni waongo kwa ufupi wewe na baba yako wote mna laana ya uongo na ndio maana baba yako tulimfukuza kwenye chama kata ya Mlowo kwa sababu ya uongo uliopelekea kuvunja katiba ya chama (CDM), hivyo kumbuka kwamba unapodanganya watz kupitia mitandao ya kijamii wapo wanaokuona wewe ----- tu maana historia yako watu wengi wanaifahamu "eti muasisi na mwenyekiti wa CHASO UDSM-DUCE" wak ati ulikuwa mvuta bangi na mvaa milegezo na mlevi wa kupindukia. "Baba yako alifukuzwa na DR. SLAA kupitia huyo Ludovick" wakati hata DR. SLAA hamfaham huyo baba yako kwani alifukuzwa na uongozi wa Kata ya MLOWO. Acha ujinga na uongo wa bei rahisi zungumzia matatizo makubwa yanayolikumba taifa letu.
huyo jamaa alisema hata panya hawatasalia....Hivi kwa nini wewe hufi tukafika nchi ya kanaani bila wewe rusfeli shetani katikati ya magame maovu manake kila siku unalalamika unataka kutolewa roho na roho yako haitoki hivi huyu Israel yuko likizo hakuoni tuu kwamba umemtangazia roho yako unataka itoke ,ikitokea tutafurahi na kuhakikisha ton kumi za mchanga zinakufukia ili usije ukarudi
Nimeipitia hii thread kwa muda wa lisaa limoja na dakika thelasini na tatu na sekunde arobaini na tisa (1:33:49) nimetumia muda huo nikiwa nasoma kila andiko kwa umakini mkubwa na unagalifu.,dot by dot.,nimegundua yafuatayo:
i) there is serious crash down and conning prevailing on chadema.
ii) Vijana wa chadema are empty boxes they have never been independent thinker.
iii) Nimeshuhudia kilio cha kweli kinachotokana na maumivu ya usaliti, ni mtu asie na hisia za kibinadamu tu ndio anayeweza kuwa asiguswe na usaliti huu.
iv) Kuna kila sababu ya Vyombo vya dola kuongeza "sample space" katika kesi hii kwani the way things are hili suala ni zaidi ya Lwakatare na Ludo.,there is BIG BOSS behind the curtain.
v) Nimeyaona yaliyoandikwa na baadhi ya wachangia kuwa ni off topic.,its completely irrelevant fact to the fact on issue.
pamoja na hayo yote nimegundua pia kuwa katika chadema hakuna KIONGOZI wala wanachama makini, hawashauriani wala hawasikilizani. Viongozi hawajui nini maana ya kuongoza na wafuasi hawajui nini wanakifuata.
Mwampamba huna jipya! Propaganda zenu wewe pamoja na masalia wote na huyu kibaraka wenu aliyeko huku CHADEMA mtaumbuka na kuaibika muda siyo mrefu. Keep watching!
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums