utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,815
Kumbe ludovick amesomea kuuwa watu
LUDOVICK ndiye mtu aliyetumwa kwenda MBEYA akiwa na maagizo kutoka kwa DR. SLAA ya kumfukuza UANACHAMA baba yangu Mzazi (MZEE MWAMPAMBA ambae nae alikuwa ni mwanachama wa CHADEMA) na ndiye aliyekuja hapa JamiiForums (JF) kuweka post yenye barua za kufukuzwa kwa Mzee Mwampamba.
ni maneno ya kujifariji,mpango mzima ni aliyoyasema kimaandishi mleta thread,kwanini leo slaa na genge lake wanamkana kijana wao mtiifu ambae wamekua wakimtumia for years kuwekea watu sumu???Mpaka jana Rwakatare alikuwa anaendelea na uhamasishaji wa chadema huko mahabusu na mda si mrefu wafungwa watapata nao ukombozi wao
HILI nalo neno.,jamaa wameweka wachumia tumbo hapa JF hawachoki wala hawapumziki.,ukiweka post tuu kuhusu Slaa utakiona cha mtemakuni. Hii ni balaa..,sasa swali langu ni kwamba katika hiyo list ya watumishi wa chadema mitandaoni mods wapo pia..?Kama ni kweli cdm wamemkana na kumbe amewahi kuwa mtendaji wao basi hatutapata shida kuondoa shaka yetu ndogo ilobaki kujua kuwa mipango ya utekaji ilifanywa kwa baraka za viongozi wa cdm.
walao leo nimejua wingi wa wafuasi wa babu wawaomshambulia kila anayeonekana agains maovu yao humu jf kumb wako ktk ajira rasmi, sa inakuwaje wanakomalia wenzao mara kachukue posho kwa Nape,mara kafate malipo lumumba kumbe ninyi ndo mnatumika! Tulidhan ni utashi wenu aisee kumbe ruzuku?
Mwampamba kweli ulikwenda UDSM lakini haujui kuandika course uliyochukua? (BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION BAED) Kwanini haukusema haya kabla la hili na una uhakika gani Ludovick ameshiriki?
Kutokana na maelezo yako, inaonyesha Wewe na Shoza mmeshiriki katika mpango huu mchafu, Je mmelipwa kiasi gani?
huu ni ukweli uliotukuka...!hapa jamvini ukileta mada ya kuikosoa chadema basi wewe ni adui. Utatukanwa na kuitwa majina yote mabaya. Huu ni ujinga na ni ubakaji wa demokrasia kabla hata chadema hawajachukua nchi. Hii inaonesha chadema wakichukua nchi basi hakutakuwa na demokrasia tena.
Mkuu ila unafahamu mkataba walio ingia kati yake na chadema?je kama moja ya kipengele chake kinasema hivyo acha mambo yako bwana Mwampamba.....mwambie mjengwa naye amtafutie wakili basi.
mzee mwampamba alikuwa na cheo gani? usikurupuke kijana!Duh! Kumbe wewe na Baba yako wote mlikuwa viongozi Chama kimoja, kweli CHADEMA mnafanana sana na CCM, undugunisation kama kawa!