Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

Nakaa na kutafakari sana kuhusu video ya Lwakatare kwa kweli bado nahisi Shonza yumo kwasababu mara baada ya kutimuliwa Chadema ndipo tuaanza kupata fununu kupitia Mwigulu kuwa anayo vidoe ya kupanga mauaji ya waandishi wa habari. Katika clip ile kunasikika sauti ya binti hivi kweli Shonza haumo kweli??? Kama umo lakini hujaamua kujisalimisha nakushauri UJISALIMISHE maana sheria ni msumeno hukata kotekote nyuma na mbele. Hata kama uko kwa wazee wa magmba siyo excuse ya kutoshitakiwa, na leo katika magazeti inasemekana kuna mlolongo wa wengi sana kuhusiana na sakata la Lwakatare.
mara nyingi mkiwa na safari ndefu mkikaribia kufika mnakuwa mmechoka lakini ni kujitahidi tu, mbele yetu kuna daraja la mbao limeoza vibaya mno na usafiri wetu ni semi la uzito wa tani nyingi, hili daraja tutalivuka tu.
 
Up to this minute wanachadema still mnacheza makidamakida. Mleta uzi amekuja na hoja sasa badala muiattack hoja yake kwa hoja ninyi ndio kwanza mnaanza kumnanga. Sasa kwa mimi ambaye ckuwa nikijua ukweli huenda hapo kivipi mtanishawishi nisikubaliane na kile kilicholetwa na mtoa uzi?
 
Siasa kweli ni mchezo mchafu,na hawa CDM wanajifanya wapenda haki huku wanamkana Ludo hadharani,ama kweli maganda ya muwa hutupwa baada ya kuisha utamu,kamwe vijana tusikubali kutumika na wanasiasa kwa maslahi yao.
 
CCM + Mwigulu + NAPE at work. Mtahangaika sana na CHADEMA lakini mwisho wenu upo pale pale. 2015 hamkatizi hata kama mtatumia vyombo vya ndola kubambikizia watu kesi au kuwatungia uongo.
 
Tunakushukuru kwa mchango na maono yako.Hii inatusaidia katika utendaji wa chama chetu.naamini siku ukitoka ndani ya chama chetu, siri za chama utazitoa hivi hivi.najua viongozi wangu wa chama wameliona hili, na kwa kuwa wengine hawaingii humu jf, itabidi ni-produce copy ya maneno haya niwapatie ili waendelee kukuangalia kwa jicho la karibu.Umri wako bado ni mdogo na una safari ndefu katika siasa.ukiona wengine wamekaa kimya wanaacha uchunguzi ufanyike, usifikiri hawaoni mbali, wanajua matokeo ya kutoa matamko kama haya.
 
Niseme mtela mwampamba kuwa wewe ni mtumwa,amini tu kuwa hauko chadema umevaa gamba.Issue ya uwakilishi kwenye kesi ni lazima uaminike kwanza bila hivyo hakuna anayeweza kusimama kwa ajili yako.Je ludo kama ameshasaliti kama ulivyofanya wewe kwanini watu wahangaike naye?nikupoteza nguvu ambayo ingefaa kutumika kwa ukombozi wa nchi na watu wake.
Mwampamba acha kuongelea chadema kwa kuwa ulifukuzwa watu makini wanakuona mshamba hakuna kipya utakachosema kizuri cha chadema wala rais mtarajiwa dr.slaa.
Si una degree wewe?mbona mawazo yako ya mtu ambaye hajasoma kabisa,unadhalilisha jina kuu la chuo kitukufu duniani!
chunga sana.

Mtela Mwampamba ni huyu huyu pacha wake na Juliana tuliowashuhudia wakicheza kiduku au ni mwingine?

Na siamini sinema yao iliiishia wapi, hata hii move ya kichina imesha anza kuchuja.
 
Kama huna cha kukisaidia chama chako nyamaza tu mana nahisi kama unawashwa tiGO unatamani kunwa na basha wako Mwigulu hayupo.Peleka wehu wako uko na kama Walimu wote wana akili kama yako basi tutashuhudia Anguko la Taifa ktk Elimu! Unafiki tu, Lione
 
kawaida katika maisha ni hivi:unatakiwa kutunza siri za kikundi,chama au kampuni unalofanyia kazi hata ukiacha kazi tunza siri zao ndo uungwana huo.Kwa tabia yako si rahisi kuaminika na mtu yeyote tena kwa kuwa mkigombana unasema vyote mlivyofanya pengine kwa faida ya washindani wenu.ccm nasema ,note maneno yangu leo-hutapata cheo chochote hadi unakufa labda utubu na uache kuongelea mambo ya watu hadharani pia hata kazi nzuri serikalini ama binafsi si rahisi kupata kwa kuwa huna siri!
 
Binafsi huwa napata shida sana na mtu ambaye anaiponda CCM kuwa ni chama kisichofaa, anajiita mwanaharati anayepigania haki ambayo kwa wakati huo anaamini haipo ndani ya CCM.

Mtu ambaye amewaubiria sana Watanzania majukwaani kuwa wakitaka maendeleo ya kweli waachane na CCM.

Anakuwa mstari wa mbele kuanzisha taasisi za kisiasa ndani ya chama cha upinzani ili kuiua CCM.

Anajitolea kwa nguvu zake zote kukijenga chama alichonacho hili kuiondoa CCM madarakani.

Anaamini huduma za jamii zitolewazo na serikali inayoongozwa na CCM si sahihi kulinganisha na rasilimali za nchi na mda wa kujitawala wa Miaka 50.

Anadai vijana hawana ajira, umaskini umekidhiri, ufisadi na rushwa vimetawala serikalini, mfumuko wa bei uko juu sana, sarafu ya Tanzania inashuka kila kukicha, wajawazito wanakufa kwa kukosa huduma muhimu, shule ziko katika hali mbaya kitaaluma na kimazingira, wafanyakazi hasa waalimu, manesi na madaktari mishahara haitoshi, na haitatosha mpaka wananchi watakopo iondoa CCM
madarakani na mengine mengi mabaya.

Alafu mtu huyo huyo kesho anaamia CCM na kuanza kupondo kule alikokuwa.

Je, haya aliyokuwa akiyaubiri kama mapungufu na madhaifu ya CCM yamekwisha ondoka?

Na kama hayajaondoka halikuwa anaubiri asichokijua na kukiamini?

Na kama alikua ajui anachokiubir na kukiamini ni kitu gani kilimfanya awe hivyo?

Je, ameshakanusha kuwa vyote alivyokuwa anaisema CCM ni vya uongo na sasa anaujua ukweli?

Aliwaponda CCM kwa ushaidi ameshatoa ushaidi wa yale aliyokuwa akiyakemea kuwa si sahihi?

Na kama hayakuwa sahihi kwa nini aliyahubiri sana?

Lengo lake hasa lilikuwa ni nini?
Huyu mtu anayesifia mashariki leo, akiiponda magharibi, alafu kesho anaisifia

Magharibi na kuiponda mashariki tena tumuamini?

Na kama tunamuamini tumuamini kwa lipi? La mashariki ama magharibi?

Na tukiamini moja wapo kati ya hayo lipi sasa ni sahihi?

Wana jamii kiukweli napata tabu sana na mtu wa namna hii hebu nisaidieni jamani.

Natumia simu umesababisha nibadilishe ili nitumie desktop kupitia kwenye simu ili nikugongee LIKE.
 
Hata wewe mwana magamba unajisikia sana uko vyema kwa ujinga wako na kukoswa staha wewe ndiye umerithi ile nafasi ya propaganda sio?
ni lini dr slaa akafanya uteuzi wa usalama ndani ya chama?
 
Wewe si mtu sahihi wa kuleta maelezo yanayohusiana na CHADEMA, DR. SLAA au viongozi wengine wa CHADEMA kwa sababu huaminiki na pia una chuki binafsi na CHADEMA na viongozi wake. Tunahitaji taarifa ya mtu mwingine kuweza kufikiria kama unachokisema ni kweli au la maana tayari kuna mengi, tangu utoke CHADEMA umeyasema kwa chuki kwa nia ya kujipendekeza CCM. Umekosa credibility!! Mtu kigeugeu, asiyeaminika, hata taarifa yake haiwezi kuaminika.
Kwel siasa Tz n itikadi mbovu ndio maana hatubadili hata kdogo. Jifunzen siasa safi vijana kama mnauchungu na taifa hili na mjaliwe macho ya kumbua ya lio mbele yenu na sio kupandisha jazba zenu bla ujuz wa kutafakuri hatima zenu. Leo hii Ludo yupo ndan mnasema ya kusema hamtaki kusumbua akili zenu.......Dr. Slaa kumkana Ludo kuna maana zaid ya 1 vjana tafakuri1) Yawezekana n jasusi wa CHADEMA ndio kasainiwa kazi na chama chake akasambaze propaganda ngelezan2) Yawezekana Dr. Slaa na wengne wamemkana kwa kulinda maslai ya chama3) Yawezekana ndio anakomazwa kijasus zaid kwa mpango wa 2015 CHADEMA wakichukuwa nchi aje awe TISS agent mzuri kwa maslahi ya chama........................Wala tafakaru?
 
Mtela,

Umeshasema kuwa alitumika katika kadhia mbalimbali ila Dr.Slaa amemgeuka,hivi kwa akili ya haraka haraka,kama kweli huyu kijana LUDO kama unavyosema alivyotumika na CDM na leo wanamgeuka basi tutasikia mengi toka kwake,lakini pia nawe Mtela kuna kitu unachokijua zaidi ambacho kama kweli taifa letu lina uzalendo ulitakiwa uwe polisi unatoa maelezo.Nafikiri ni wkati muafaka sasa kuunganishwa kwenye ushahidi dhidi ya kadhia yote maana inaonekana kuna kitu unakijua.
 
Badala ya kukaa na kutafakari nini kasema na tupime uzito na ukweli wa hoja ya Mtela, tunapoteza muda kumtukana na kumshambulia.:tape2::tape2::tape2:
naona shida kubwa sana kwa wengi wetu yaani badala ya kujadili hoja na kutaka kujustfy kama yuko mkweli ama mwongo watu wana kurupuka kwa kashfa na matusi.
 
DUCEeeeeee!
gwakisa
ganzi hata wewe?
haya endeleeeni kutupa script!
tunasubiri movie
director ameshafanya casting!
 
Back
Top Bottom