Personally kinachonitisha ni jinsi gani WaTZ tunavyoweza kupoteza target. Hivi kweli CDM, chama kisichokuwa na dola kina weza kutengeza Plot kama ilivoainishwa kwenye You tube na kuitekeleza, tena kwa kipindi kirefu hivyo wakati kuna watu tumewapa dola, madaraka na kila aina ya resource kuhakikisha raia tuko salama. Mbaya zaidi CDM wameweza kutumia vyombo hivyo hivyo vya dola (mwenye mamlaka akiwa kauchapa usingizi) kuyatimiza maovu hayo! Ref: polisi wa mwangosi, polisi wa muuza magazeti moro, na Rama Ighondu wa Uli.
Wakuu hamuoni kwamba hii ndio sababu halisi na ya msingi kabisa kuitoa hii serikali madarakani like immediately kwa kushindwa kijinga kabisa kutimiza majukumu yake tuliyoipa?
Mbaya zaidi wenye mamlaka walikuwa na evidence ya uovu huu wa CDM toka mwaka jana na wakawa wanatuambia ngojeni bomu lijalo!! ebo tupo kungoja kutekwa sisi?
Mi nadhani mada kuu hapa ni kwa nini serikali iendelee kuwepo madarakani na vyombo vyake vya dola vyote tunavovilipia kodi then vigaidi vitoto vya DUCE vituteke na kutunyofoa kucha, meno na kututoboa macho!
Watoke magogoni waende kuchekacheka Msoga! Bora dola yote wachukue kina lwakatare na kitoto cha DUCE kwani wame prove beyond reasonable doubt they can offer mega tons with so meagre reasources!!