:
Kwanini wasigawanywe hawa au wote katika hawa hawamtetei LUDO..? Ama kama si hawa kwanini hawatafutwi mawakili wengine kwa ajili ya LUDO na badala yake akaachwa anaangamia pamoja na kujitolea kote kuijenga na kuitetea CHADEMA, pamoja na utiifu wote wa kuwalinda na kutunza siri za viongozi na siri za Chama hicho.
Kijana umeoneshwa umeguswa kwa namna ya pekee kutokana na hili ulilolielezea juu ya kusalitiwa kwa Bw. Ludovick. Ninachotaka nikukumbushe tu ni kuwa suala la kuendesha kesi ni kitu ambacho ni technical. Huwezi ukakurupuka tu frm no where ukaanza kutoa statements zinazokinzana na mshitakiwa mkuu (Lwakatale) au kuleta mazoea ya kujuana kienyeji pale mahakamani. Wewe hujashtakiwa ndo mana umeliweka hv. Pale ni tayari battle, each side needs to win the battle kwa kutumia mbinu za medani.
Kumbuka Ludovick Joseph Rwezaura kwenye ile clop hajaonekana. Jina Ludovick lililotajwa linaweza kuwa la watu wengi sana, kama Lwaka angamtaja Ludovick Joseph Rwezaura hapo ni sahihi kumuhusiha na Ludovick, lakin as along as amesema Ludovick tu, inawezekana hata sio Ludovick huyu.
Pia lazma ujue kama mshatikiwa mkuu itaonekana hana kesi ya kujibu, usidhan kama jina Ludovick litashtakiwa, so mwisho wa siku Nguvu iliyoelekezwa kwa Lwaka na hao mawakili wote wa 5. Indirectly, itakuwa imemsaidia pia Ludovick. Chama kikianza kutumia nguvu kumtetea mtu ambaye kwenye clip hakuonekana, kwa kwel itakuwa ni ujinga. Kama kitataka kufanya hivyo ni lazma kitafanya indirectly mana kumbuka wameanza na Lwaka ila lengo ni kuimplicate chama.
Naomba pia usisahau kuwa hata CDM wanafahamu athari za kumkana mtu uliyemtumia kwenye shughuli mbalimbali za kiusalama (kama kweli) kulingana na ulivyosema. So usidhani wamemkana tu kwa kufurahisha jamii. Jua sheria ni taaluma, hilo jopo la wanasheria nadhan lilianza kazi siku ile ile Lwaka amekamatwa, nadhan watakuwa walishashauri ipasavyo na huenda hata Ludovick mwenyewe keshaelezwa juu ya hatua ya kukanwa.
So wewe mwanaCCM tulia, mmeshatuchumia janga tuacheni tulile na wakwetu. Mbona tena kama unamuonea huruma adui anapokufa wakati lengo lenu ni kumuua??????????????????????????Sio unafki huo kweli???Kama ulikuwa unataka kazi ya kukishauri chama si ungebaki CDM??Wewe mwenye huruma shauri chama chako wasiwauwe wananchi!Au hulijui hili??Au hili ni sawa???