Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)


Ila pamaja na yote ww ni wa kulaumiwa kwa kufanya mambo yako ya kijinga mpaka kusababisha mzazi wako kufukuzwa CHADEMA, ni bora angeliacha mwenyewe kwa heshima sio kufukuzwa kwa sababu yako. Hukujifunza jinsi Philotas alivyomponza baba yake Parmenio enzi za Alexander the great?
 
Mpaka jana Rwakatare alikuwa anaendelea na uhamasishaji wa chadema huko mahabusu na mda si mrefu wafungwa watapata nao ukombozi wao
ni maneno ya kujifariji,mpango mzima ni aliyoyasema kimaandishi mleta thread,kwanini leo slaa na genge lake wanamkana kijana wao mtiifu ambae wamekua wakimtumia for years kuwekea watu sumu???
 
............Duuuuh mkuu maneno yote hayo yamekutoka mdomoni kumbe sababu kuu ni kwamba jamaa alifanikisha kupigwa kwako chini pamoja na baba ako?. Hata ningekuwa mimi ningeandika kama ulivyoandika ili kuonyesha jinsi nilivyoumia kwa kupigwa chini familia yetu ktk uongozi wa chama. Pole sana Mwampamba pia mpe pole sana mzee, ndo game ilivyo don't expect to be winning side all the time.
 
Mkuu ila unafahamu mkataba walio ingia kati yake na chadema?je kama moja ya kipengele chake kinasema hivyo acha mambo yako bwana Mwampamba.....mwambie mjengwa naye amtafutie wakili basi.
 
HILI nalo neno.,jamaa wameweka wachumia tumbo hapa JF hawachoki wala hawapumziki.,ukiweka post tuu kuhusu Slaa utakiona cha mtemakuni. Hii ni balaa..,sasa swali langu ni kwamba katika hiyo list ya watumishi wa chadema mitandaoni mods wapo pia..?
 

mkuu jamaa hajazungumzia kusema ludo kashiriki ama hajashiriki insh ni kwamba kwanini chadema isimjue wakat ni kada wao tena kiongozi na kwanini hajawekewa wakili wa kumtea mana insh anayohusishwa nayo inahusu chama pia
 
huu ni ukweli uliotukuka...!
 
Mkuu ila unafahamu mkataba walio ingia kati yake na chadema?je kama moja ya kipengele chake kinasema hivyo acha mambo yako bwana Mwampamba.....mwambie mjengwa naye amtafutie wakili basi.

mini siku zote nimesema chadema ni free mason na wauaji humu jamvini wamejaza vijana wenye id Mia Mia waonekane wanawatu wengi upuuzi mtupu siku zote tumesema humu chadema wamehusika kuua ktk chaguzi za igunga na kumwagia tindikali kijana tesha,haha wanafanya hawajashika nadaraka na wapuuzi jaws waliopangwa humu wanadhani Mungu atawaacha wakati wore wawaue watu bila kukamatwa na kwa taarifa mkanda mwingine utaeekwa hadharani soon muwajue hawa wanaodai walikua watumishi WA Mungu kumbe maagent WA kuzimu,Slaa na kundi lake ni watu hatari kwa watanzania IPO siku mtajua siri za Huyu ajenti WA giza
 
Nyumba ya CDM uliona kuwa haikufai kwanini usijenge nyumba yako mpya badala ya kuhangaika na nyumba ya mwenzio ambaye uliona kuwa ni gofu?Wewe nadhani una mapepo wa kutosha?
 
hata mama yako alimsaliti baba yako hal;isi.msasliti wa kwanza ni yeye.
 
Duh! Kumbe wewe na Baba yako wote mlikuwa viongozi Chama kimoja, kweli CHADEMA mnafanana sana na CCM, undugunisation kama kawa!
mzee mwampamba alikuwa na cheo gani? usikurupuke kijana!
 
Fisi mwizi kastukiwa sasa anataka kufa na mtu. wewe tunakujua kuwa ni fisi mwizi, kakae na hao jamaa zako majambazi. unadhani kwa porojo zako hizi tutahama chadema. kweli kenge ni kenge tu.
 
Badala ya kukaa na kutafakari nini kasema na tupime uzito na ukweli wa hoja ya Mtela, tunapoteza muda kumtukana na kumshambulia.:tape2::tape2::tape2:
 
Nakaa na kutafakari sana kuhusu video ya Lwakatare kwa kweli bado nahisi Shonza yumo kwasababu mara baada ya kutimuliwa Chadema ndipo tuaanza kupata fununu kupitia Mwigulu kuwa anayo vidoe ya kupanga mauaji ya waandishi wa habari. Katika clip ile kunasikika sauti ya binti hivi kweli Shonza haumo kweli??? Kama umo lakini hujaamua kujisalimisha nakushauri UJISALIMISHE maana sheria ni msumeno hukata kotekote nyuma na mbele. Hata kama uko kwa wazee wa magmba siyo excuse ya kutoshitakiwa, na leo katika magazeti inasemekana kuna mlolongo wa wengi sana kuhusiana na sakata la Lwakatare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…