Na iwe hivyooAngekuwa wa kuniomba angeshakuwa ameniomba Ila ninamchukulia kama kakaaa
UnayoooJeuri ninayo basi?
Mie nasubiri hashtag yako baba..!!Tunasubiri Hashtags.....
#WeMetJF
.....tulia hapohapo bibie nakuletea πΏ popcorn....Nimeweka benchi kabisa
π€Kikaangoni positively usihofu
KakaπHahahaha
Wewe huyu ni kaka angu
Ndio ki jf jf ni kama kakaKakaπ
Ila hizi na fake ID ujueMleta thread ni Jasusi la MMU naanzaje kumhoji Mshikaji mwenye Id ya Kike ?? πππ
HahahaSiongozwi na tamaa za Kiboya na mihemko ya hovyo hovyo aisee,
Kwa niniNanyamaza siongei kitu aisee. π π π π π
HahahaNa iwe hivyoo
Abee rafiki.. Jana nikasubiri weee ile message inaandikwa "IMETHIBITISHWA"RAfiki
OkayAngekuwa wa kuniomba angeshakuwa ameniomba Ila ninamchukulia kama kakaaa
π€£π€£π€£ Mabimdogo hawapo kwaniJitahidi kuwa na hisia kamili basi, mbona wewe Ki JF ni Bebi Wife ?
πππSiongozwi na tamaa za Kiboya na mihemko ya hovyo hovyo aisee,
Maisha tu rafiki. Ila siwezi kuwa mbali na wewe na wewe wajuaUnajua vile nakuheshimu sana.
Ila umekuwa mbali sana sijui kwanini