Hujatulia mwananguπ€£Naombeni ruhusa nkakojoe (kumradh.... nikapunguze maji) kwanza...
.....huyu malkia wetu anaeonekana kuwa smart kichwani sasa unakuta wanaomtafiuta ni makanjanja, sasa wakiwa kwenye conversation bibie anakuwa anawazidi upeo at the end of the day anawatoa knock out....au wadau wenyewe wanagundua hawako smart enough to date a lady.....wanaamua kuingia mitini...we si naona anavyojibu maswali kimkakati kama vile CCM wananyemelea ikulu....Hili la kuishia flirting nadhani hapa kunakuwa kunatokea sintonfahamu, yawezekana Ke ni Mpole sana na ME ni Mbabe sana hapo lazima mtaishia kwenye flirting tu πππ
Hahah nsameheumeanza ku reply wakati Kikaangoni hujamaliza π€£ π€£ π€£
Sikuwahi kujua rafiki. Nashukuru kwa hilo [emoji120][emoji120]Nafurahi kusikia.
Weww mtu muhimu sana maishani mwangu.
Uliutendea haki uhali wangu labda hukujua
Mie nasubiri hashtag yako baba..!!
Jaman hebu niambie lipi sijajibu?Maswali yangu yameisha kwani au umeamua kufanya compression ???
Mamlaka natii 100%
Nachukia dhuluma, uonevu na rushwa tu mama.
Wewe kama wewe ninakupenda hadi naumwa mtumishiπ
Abee
Nimeitika mamakeUmeitwa hukuπ
Nasubiri.....tulia hapohapo bibie nakuletea πΏ popcorn....
KabisaAhsante.!
Ngoja sasa tushuhudie mambo yanavyokwenda, huenda tukajifunza kitu hapa.