Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Hili la kuishia flirting nadhani hapa kunakuwa kunatokea sintonfahamu, yawezekana Ke ni Mpole sana na ME ni Mbabe sana hapo lazima mtaishia kwenye flirting tu 😂😂😂
.....huyu malkia wetu anaeonekana kuwa smart kichwani sasa unakuta wanaomtafiuta ni makanjanja, sasa wakiwa kwenye conversation bibie anakuwa anawazidi upeo at the end of the day anawatoa knock out....au wadau wenyewe wanagundua hawako smart enough to date a lady.....wanaamua kuingia mitini...we si naona anavyojibu maswali kimkakati kama vile CCM wananyemelea ikulu....
 
Maswali yangu yameisha kwani au umeamua kufanya compression ???
Jaman hebu niambie lipi sijajibu?
Mswali ya dating za jf yanategemeana kama sina mpenzi jf maanake maswali karibia yote yanayofwata sijibu
 
Mamlaka natii 100%
Nachukia dhuluma, uonevu na rushwa tu mama.
Wewe kama wewe ninakupenda hadi naumwa mtumishi😍

Tupendane tuu maana hiyo ndio amri kuu na ya kwanza
MaUpendo yote kwako pia
 
Nakadori huyu Glenn anataka kujifanya Mbuzi beberu anapenda sana halafu ya mkojo wa jike 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom