NAONA UMEYAJIBU ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.Jaman hebu niambie lipi sijajibu?
Mswali ya dating za jf yanategemeana kama sina mpenzi jf maanake maswali karibia yote yanayofwata sijibu
Nimejisikia raha kusikia ujueπTupendane tuu maana hiyo ndio amri kuu na ya kwanza
MaUpendo yote kwako pia
Asante sana DepalPrecious Baby
Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.
Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.
Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima π
Nikiwa na mengine nitaendelea..
NAONA UMEYAJIBU ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.
NAKARIBISHA MASWALI YENU KWA NAKADORI MEMBERS WA MMU
Jack Daniel , Glenn , sophy27 Kapeace
To yeye Dahan Depal mama D , DeepPond , Lovelovie , Palina , Unique Flower Mac Alpho na wengi wote ambao mtakuwa na maswali kwa Nakadori naomba maswali yeny yawe ya kiunungwana na yenye lugha ya adabu.
Cheers
Unajua vyema sema hukujua ukubwa na uzito wa jambo...Sikuwahi kujua rafiki. Nashukuru kwa hilo [emoji120][emoji120]
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Nimejisikia raha kusikia ujueπ
Amina mama mzuriFurahi kabisaa
Upendo Upendo Upendo
1. Kwenye maisha yangu huwa sina Majuto kwa kuwa maamuzi yote ninayofanya nj kwa ajili ya furaha yangu.Precious Baby
Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.
Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.
Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima π
Nikiwa na mengine nitaendelea..
πππππ
Wangu sijui atakuwa ni Queen wa jukwaa gani?
Nimesema endapo si wewe utanisamehe.We leta huo uzi hapa
Hahahahahahaπππ
Wanasema Mungu anakupa wa kufanana na wewe sivyo..??
Hivyo nikikutazama naona kabisa wako atakuwa Queen wa Jukwaa la Wakubwa..!!