Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Precious Baby

Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.

Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.

Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima 🍏

Nikiwa na mengine nitaendelea..
 
Jaman hebu niambie lipi sijajibu?
Mswali ya dating za jf yanategemeana kama sina mpenzi jf maanake maswali karibia yote yanayofwata sijibu
NAONA UMEYAJIBU ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WAKO.
NAKARIBISHA MASWALI YENU KWA NAKADORI MEMBERS WA MMU
Jack Daniel , Glenn , sophy27 Kapeace
To yeye Dahan Depal mama D , DeepPond , Lovelovie , Palina , Unique Flower Mac Alpho na wengi wote ambao mtakuwa na maswali kwa Nakadori naomba maswali yeny yawe ya kiunungwana na yenye lugha ya adabu.
Cheers
 
Precious Baby

Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.

Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.

Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima 🍏

Nikiwa na mengine nitaendelea..
Asante sana Depal
 
Ahsante sana kwa kunipa nafasi ya kumuuliza swali Nakadori, sina swali ila nitakuwa hapa kusoma majibu ya maswali watakayouliza wenzangu.
 
Nakadori ukipata 2m hapo chap
Una invest wapi? Biz related or assest.

Au utaimwagilia moyo mpaka iishe 😁
 
Precious Baby

Ni kitu gani ulishawahi kufanya na unajutia.. unatamani urudishe nyakati nyuma ukiepuke.

Kitu gani ulishawahi kufanya kikawa na matokeo chanya.. yakakufurahisha na yakamfurahisha uliyemfanyia.

Katika hao members walioshia flirt stage.. hajatokea adui? Sbb tu ulimnyima 🍏

Nikiwa na mengine nitaendelea..
1. Kwenye maisha yangu huwa sina Majuto kwa kuwa maamuzi yote ninayofanya nj kwa ajili ya furaha yangu.

2. Kumuuguza mama yangu tangu nikiwa first year hadi anafariki ndo jambo ambalo sijutii maisha. Alipata nafuu nzuri akaja kufa kwa ishu nyingine.... Na mama angu japo amepumzika lakini alikuwa ananiona namjali na kumpenda sana. Alijenga imani kiasi kwamba alikuwa haambiwi kitu kuhusu mimi.

3. Nahisi wapo maana kuna muda unakutana na ID inakutukana kama inakujua vile hadi najikuta nashangaa
 
Back
Top Bottom