Ninavyomjua Nakadori humu MMU

Mkuu haiwez tokea
Me nko busy na casual dating full maraha na ma new fantasies

Kila lionekanalo rahisi basi lilikuwa na ugumu wake mwanzoni, hopefully everything's gonna be good.

Usijiapize hivyo.
 
........tell us just by one example, ilikuwaje hadi mnaishia flirting.....ama kwa hakika walichezea shlilingi chooni.... mimi tutafika mbali sana.....
 
........tell us just by one example, ilikuwaje hadi mnaishia flirting.....ama kwa hakika walichezea shlilingi chooni.... mimi tutafika mbali sana.....
Hahaha yani basi tu labda ndo nna mpango wa kukutana na mmoja tumalizie kabisaa baada ya kuona tinaendana kimtazamo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…