Ninavyomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwalimu mtu wa watu (6)

Ninavyomkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwalimu mtu wa watu (6)

Udini ni pale unaposhadidia makala zinazoangukia dini fulani kila wakati. Mfano wewe hata ulikonfuzi na kumshabikia waziri mkuu wa Ethiopia ukikengenyuka kuwa ni mwislam ilhal ni mlokole. By the way mimi ni muislam lakini sipendi udini.
Kumbe ndiyo maana yako ya neno "udini"! Sasa wewe unaefikiri tu yako kichwani siyo "udini" huo?

Wewe unaweza Muislam kama unavyojaribu kutuaminisha hapa lakini ni wazi kabisa hauufati Uislam au unaweza kuwa Muislam jina tu, sababu hakuna Muislam mwenye dhanna potofu na wewe umeshafanya dhanna. Unafahamu kuwa dhanna ni dhambi kwenye Uislam?

Sasa wewe ukishabikia dini yako kuna kosa?

Kwenye hii mada kilichoshabikiwa ni kipi? Au unajishuku shuku tu?
 
Kumbe ndiyo maana.

Sasa wewe ukishabikia dini yako kuna kosa?

Kwenye hii mada kilichoshabikiwa ni kipi? Au unajishuku shuku tu?
Kudai uhuru ni mchakato mpana, hivyo kila mmoja anaangalia katika engo tofauti, lakini angalia makala zake ni uchonganishi wa wenzetu na sisi. Kwa mtu mzima kama yeye haileti maana. Kwa vijana kama wewe hakuna shida
 
Kudai uhuru ni mchakato mpana, hivyo kila mmoja anaangalia katika engo tofauti, lakini angalia makala zake ni uchonganishi wa wenzetu na sisi. Kwa mtu mzima kama yeye haileti maana. Kwa vijana kama wewe hakuna shida
Makala zake nani?

Mbona hata jina Mohamed Said linakuwa gumu kwako kulitaja?

Hebu nioneshe huo uchonganishi ni upi katika maandiko ya Mohamed Said? Kuwa Rashidi Sisso hakuwepo wakati wa kudai Uhuru?

Kuwa hizo picha alizobandika za kutengeneza?

Mbona hueleweki?

Hebu tupe basi na wewe huo upana wa upande wako wa kudai Uhuru?
 
Makala zake nani?

Mbona hata jina Mohamed Said linakuwa gumu kwako kulitaja?

Hebu nioneshe huo uchonganishi ni upi katika maandiko ya Mohamed Said? Kuwa Rashidi Sisso hakuwepo wakati wa kudai Uhuru?
Unanichosha jenga hoja kwanza
 
Mada umeielewa lakini? Kuna Mwinyi kwenye mada au Mkapa?

Umeelewa ulichokiuliza?

Hao wa mstari wa mbele wametajwa hapa?

Kama wametajwa weka majina yao au mwambie mzee Said aweke majina yao

Usiwe bingwa wa kupindisha mada.
 
Mada umeielewa lakini? Kuna Mwinyi kwenye mada au Mkapa?

Hii hapa chini ulimlenga nani na ulieelewa ulipokuwa unauliza

Umeusoma mstari huu juu hapo...

Nafasi za mbele katika mazishi na maombolezo watachukua wale waliokuja kumkumbatia na kujidai kumpenda Mwalimu kwa kuwa kwa kufanya hivyo kuna maslahi makubwa kwao.
 
Mwinyi na kikwete hawajawa mstari wa mbele?

Walifanya nini
Mwinyi na Kikwete walikuwepp katika harakati za kudai Uhuru? Umeziona picha? Umeisoma mada, umeona majina ya waliokuwa hai na walikuwa bega kwa bega na Marehemu Nyerere na ndiyo waliomkaribisha Dar.

Kwa swali lako hilo unakubali kuwa mada imesema kweli.
 
Hoja ipo kwenye post namba moja. Umeisoma?

Lazima uchoke kwani umekurupuka bila kuisoma na kuielewa mada.
Waislam walioshiriki katika kuleta uhuru wa nchi hii wanashangaa wanaposoma magazeti na kuambiwa na wanasiasa kuwa wao wanataka kuvuruga amani.

Kinachowashangaza ni kuwa vipi wao wapiganie uhuru wa nchi hii kisha wao waanze kuuvuruga.

Lakini kinachowashangaza Waislam zaidi na hasa marafiki wa zamani wa Mwalimu ni ukimya wake Mwalimu katika tatizo hili zito linalotishia uhai wa taifa hili.

Hiyo ni nini kama si uchuro
 
Orodha ya viongozi wetu Tanzania

1. Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

Mkristo

2. Ndugu Ally Hassan Mwinyi (mzee Ruksa)

Mwislam

3. Benjamin William Mkapa (mzee wa uwazi na ukweli)

Mkristu

4. Jakaya Mrisho Kikwete (mzee wa anga)

Mwislam

5. John Pombe Magufuli (mzee wa pushapu)

Mkristo

Hatujapata ajaye rais wa 6 na kwa trend hii atakuwa mwislam lazima....by induction method

Mzee Mwinyi na mzee Kikwete walipaswa kurekebisha mapungufu unayoyaona endapo yapo.

Mwilinyi aliwapiga mwembe chai

Benjamin aliwapiga zanzibar mpaka shimoni Mombasa

Kikwete na mashekhe wa uamsho zanzibar, kawasweka nakuwaacha ndani mpaka leo kama sijakosea sidhani kama ni Pombe

Hapa tunamlaum nani

Mwinyi, Benjamin au Kikwete?
Umeongelea kuhusu Zanzibar, wasome Wazanzibari wameandika nini kuhusu Malima...

Barua ya Marehemu Malima yafichuwa aliyotendewa na JK
Zanzibar Daima
Zanzibar Daima
2 years ago
1495384127513.jpg

Visa na vitimbi vilivyozuka

vilivyozuka ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015 vinashabihiana sana na kile kilichotokea miaka 20 nyuma wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi wa kwanza tangu kurejeshwa tena kwa mfumo wa vyama vingi vya siasa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inafichuwa barua iliyoandikwa na Marehemu Profesa Kighoma Ali Malima wakati huo.

Miongoni mwa mambo yanayoshabihiana mno ni ushiriki wa Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye mwaka 1995 alikuwa mmoja wa waliowania tiketi ya CCM kugombea urais wa nchi, na ambaye pia alikuwa mrithi wa Profesa Malima kwenye nafasi ya uwaziri wa fedha.

Profesa Malima alijivua nyadhifa zake zote kwenye baraza la mawaziri la Rais Ali Hassan Mwinyi, kwa kile anachokieleza kwenye barua yake ya kuomba kujiuzulu kuwa ni kukiukwa kwa maadili ya utawala na misingi ya uwajibikaji wa pamoja kulikofanywa na Kikwete.

Inafahamika kuwa Profesa Malima, aliyekuja kufariki dunia jijini London, Uingereza, miezi michache baada ya kujiondoa serikalini na kutangaza kuwania urais kupitia chama kipya cha kisiasa, aliwahi kuwa mtu mwenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM na nje yake, kutokana na kujipambanua kwake kama msomi na msemaji wa ngome kuu ya CCM – jamii ya Kiislamu.

Mbele ya Profesa Malima, kwa hivyo, wagombea akina Kikwete wasingelikuwa na pa kupenyea, lakini kile kinachoonekana kama hujuma dhidi yake iliyoongozwa na wenziwe, ilimporomoa na mapema na hivyo kuiporomosha ndoto yake ya kuwa rais wa Tanzania kupitia CCM.

Ingawa wengine wanasema kuwa lawama za kuporomoka kwa Profesa Malima zinamuangukia pia Rais Mwinyi, mzawa mwenziwe wa Mkuranga, kutokana na udhaifu mkubwa aliouonesha kiuongozi, lakini njama za kundi la vijana wa wakati huo zina nafasi kubwa sana.

Historia ilijirejea tena kwa Kikwete, miaka 20 baadaye, sasa akiwa rais wa nchi, amiri jeshi mkuu na mwenyekiti wa chama tawala, pale aliposimamia mkutano uliowang’oa wagombea kadhaa mashuhuri ndani ya CCM, akiwemo aliyewahi kuwa swahibu wake wa chanda na pete, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa.

Chanzo: Barua ya Marehemu Malima yafichuwa aliyotendewa na JK
 
Waislam walioshiriki katika kuleta uhuru wa nchi hii wanashangaa wanaposoma magazeti na kuambiwa na wanasiasa kuwa wao wanataka kuvuruga amani.

Kinachowashangaza ni kuwa vipi wao wapiganie uhuru wa nchi hii kisha wao waanze kuuvuruga.

Lakini kinachowashangaza Waislam zaidi na hasa marafiki wa zamani wa Mwalimu ni ukimya wake Mwalimu katika tatizo hili zito linalotishia uhai wa taifa hili.

Hiyo ni nini kama si uchuro
Jibu swali la hao wazee, wewe ndiye usiyeelewa maana.

Jibu hilo swali kama u mkweli wa nafsi yako.
 
Nimekujibu sina dini.

Sasa kama wewe hauna dini kwanini ushabikie wenye dini zao?

Walikuingilia wewe kwa kutokuwa na dini? Walikuuliza lolote lililokukwaza?

Marehemeu Nyerere alikuwa na dini au huelewi hilo? Na waliomakaribisha Dar walikuwa na dini au nalo huelewi pia?

Wewe pilipili iko shamba inakuwashia nini?
 
Back
Top Bottom