Dah umepuyanga kweli,kuna timu hazinunuliki,hizo mimi sibet nabeti dodoma jiji,singida,nkWe mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Tabora ana logo ya gsm au Gboost?,..azam ana logo ya gsm au Gboost?,..mengine jiongezeWe mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Ikikosa sifa hizo sio match fixing na matokeo yanaweza kubadilika. Pia nikufahamishe tena ukiona wewe umepata fixed game ujue hata uki stake huo mkeka hautalipwa. Hapo nimekutoa ushamba kidogo kuhusu fixed game.Dah umepuyanga kweli,kuna timu hazinunuliki,hizo mimi sibet nabeti dodoma jiji,singida,nk
Jamaa unaandika niniIkikosa sifa hizo sio match fixing na matokeo yanaweza kubadilika. Pia nikufahamishe tena ukiona wewe umepata fixed game ujue hata uki stake huo mkeka hautalipwa. Hapo nimekutoa ushamba kidogo kuhusu fixed game.
Bongo lala huwezi kuelewaJamaa unaandika nini
Ukihonga hata siku moja kula haitoshi.Inanitosha kabisa kula wiki nzima
Hujui kingereza hujui mpiraIkikosa sifa hizo sio match fixing na matokeo yanaweza kubadilika. Pia nikufahamishe tena ukiona wewe umepata fixed game ujue hata uki stake huo mkeka hautalipwa. Hapo nimekutoa ushamba kidogo kuhusu fixed game.
Bahasha haikufika Kwa walengwa.We mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Umeikuta kijiwe gani mkuuHujui kingereza hujui mpira
Kupangamatokeo ndio match fixing
Yanga na Singida hupanga matokeo kuwa wasifungwe.
Hata kama ushahidi wa wazi haupo ila huo ndio ukweli
Sasa mtu wa kubet hapo ni kujilia mahela tu