Ninavyopiga pesa kupitia kinachoitwa 'Match Fixing' za Yanga

Ninavyopiga pesa kupitia kinachoitwa 'Match Fixing' za Yanga

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Jana nilibet match moja tu ya Yanga na niliweka milioni nikijua Yanga atashinda, nikapiga hela yangu ya kunitosha kula wiki nzima.

Kuna mechi ambazo huwa nina uhakika Yanga anashinda, kwa msimu uliopita pekee nimeniingizia pesa nyingi sana.

Vijana acheni kulalamika tumieni hiyo fursa kupata mitaji.

Match fixing is real, but take it in a positive way. Ukinirushia ndimu nalikamua kuwa juice
 
We mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Dah umepuyanga kweli,kuna timu hazinunuliki,hizo mimi sibet nabeti dodoma jiji,singida,nk
 
Ikikosa sifa hizo sio match fixing na matokeo yanaweza kubadilika. Pia nikufahamishe tena ukiona wewe umepata fixed game ujue hata uki stake huo mkeka hautalipwa. Hapo nimekutoa ushamba kidogo kuhusu fixed game.
Hujui kingereza hujui mpira
Kupangamatokeo ndio match fixing
Yanga na Singida hupanga matokeo kuwa wasifungwe.
Hata kama ushahidi wa wazi haupo ila huo ndio ukweli
Sasa mtu wa kubet hapo ni kujilia mahela tu
 
We mpuuzi kweli unajua maana ya match fixing kweli? Match fixing maana yake ni mechi imenunuliwa na kivyovyote matokeo nilazima yatoke kama ilivyonunuliwa. Sasa Yanga mbona amefungwa mechI mbili msimu huu?
Bahasha haikufika Kwa walengwa.
 
Sportbook hawaweki odds kwa kukurupuka. Kuna watu wanalipwa mamilion kutengeneza na ku control odds kwenye kampuni zinazomiliki sportbook . Ukiona timu imepewa odds ujue inawezakutoa matokeo yoyote na yakakushangaza. Tuje kwenye kampuni ya kubeti timu ikiuza mchezo ukasambaa huchukuliwa kama fraudulent na wote mlioweka huo mkeka hamtalipwa au odds itafungwa. Unaposema yanga ana fanya match fixing huo ni upotoshaji wa wazi , hakuna timu inayofanya match fixing tena ya ligI kuu afu iwekwe kwenye sportbook . Wewe mtu wa kijiweni huwezi kupata taarifa za match fixing kabla ya makachero wa sportbook
 
Hujui kingereza hujui mpira
Kupangamatokeo ndio match fixing
Yanga na Singida hupanga matokeo kuwa wasifungwe.
Hata kama ushahidi wa wazi haupo ila huo ndio ukweli
Sasa mtu wa kubet hapo ni kujilia mahela tu
Umeikuta kijiwe gani mkuu
 
Back
Top Bottom