Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Conspiracy is an act of treason. He was caught RED HAND na akatubu sasa nchi nyingine angewekwa black list.Mkuu ni lipi baya la Makamba linalomfanya awe hafai kurudi katika nafasi ya uwaziri ?
Maana kama kuondoka na kurudi barazani, watu wengi tu huwa wanafanya hivyo na mifano ipo.
1. Mwigulu Nchemba
2. George Simbachawene
3. Faustine Ndugulie n.k n.k
Kipi haswa mnakiona kwa January ?