Ninawachukia Hawa.....

Hapo kwenye red ivi huwa inatokea?INASIKITISHA ina maana siku huna na penzi hamna Kaizer au tusemeje?

Sipendi wa dada wanaowafanya wanaume wao kama ATM, unatoka na mdada for Lunch unaishia mlipia kila kitu na hata voucher anakuomba! Kibaya zaidi unamlipia hadi Taxi
Sisi wapanda daladala ukikutana naye siti moja hata kama alikuwa na nauli yake anakutolea macho, halafu hata ukimnunulia hiyo vocha baadae atakubip ukimpigia "Nilitaka kukushukuru kwa kuninunulia vocha ...... ha ha ha haaaaaa!
 
Hahahahahah wadada wabunifu sana! Lol
 
hahahaaa.... ukweli mtupu, siku hizi ngoja nikupe formula ambayo karibia itapitishwa na kikao chao cha bunge

Viwango vya mikuki kwa sasa
wale wa UDOM - 50,000 hadi 100,000
MUCCOBS - 15,000 hadi 50,000
ST. Augustine (Buzwagi) - 30,000 hadi laki mbili
UDSM - 100,000 hadi laki tano
MUHAS - Vitabu au laki
Walioajiriwa serikalini - laki hadi milioni :dance:
Walioajiriwa NGO - bili hadi starlet
Walio kwenye corporates - Laki 2 hadi milioni tatu
Waliojiajiri - elfu saba hadi milioni kumi

hao hapo juu ni akina dada

kwa akina kaka... bado formula inapitiwa maana wengine wanaomba kuanzia fegi hadi Prado
 
Umeandika kwa hisia sana....pole sana kama yaliisha kukuta....they are very tricky...and professional

hahaha Mchungaji...kuna jamaa kaingia mjini majuzi hapa basi ndo hivyo watoto wa mjini wanampelekesha nimemshauri hadi basi hashauriki.....

nakubaliana na wewe kuwa hao wako very professional.....wanajifanya kusahau kabisa....LOL
 
Hapo kwenye red ivi huwa inatokea?INASIKITISHA ina maana siku huna na penzi hamna Kaizer au tusemeje?

yeah Chauro, kind of...amesema Mchungaji kwamba hawa ni maprofessional lol ukikaa vibaya umeliwa mazima...

mapenzi yamebaki vitabuni tu.....

so ni trade off kati ya pesa upate sex... vis a vis mapenzi...thats it
 
Hapo kwenye redi ni too much Rev.
 
Ukiona kaanza na Babe or honey ujue mzinga unafuata hapo!!
utasikia Honey, kodi ya nyumba imeisha nimepungukiwa kama laki mbili hivi nimeshalipa laki nne, naomba unikopeshe nisije tolewa kwenye nyumba,,, hahahaha Ukitoa tu SAHAU!
 
hahaha Kamanda umeona eeh? LOL

halafu watu wanalaumu mtu kurudi kijijini....kwa hali hii hapa mjini patakalika kweli?

:biggrin1:
 
kwa hali hii mbaya ya uchumi wetu mtu akianza kukupiga mizinga ya hivyo au kukupangia zawadi ni bora ukimbie mapemaaaa kabla hali haijawa mbaya ohoooo!!!!!!
 
Ukiona kaanza na Babe or honey ujue mzinga unafuata hapo!!
utasikia Honey, kodi ya nyumba imeisha nimepungukiwa kama laki mbili hivi nimeshalipa laki nne, naomba unikopeshe nisije tolewa kwenye nyumba,,, hahahaha Ukitoa tu SAHAU!

hahaha same same scenario.....
 
Mbna nakpnd thana mpendh nlikothea kujb vby codh mwisho wa mwedh ulikuw haujafka ngj nkau2mie kwa mpetha
 
Umechukua mauzoefu ya mchungaji nini?Umewasahau wasiofanya kazi.

Rev. vp, umekopwa?
Hata mimi siwapendi
 
Si mchezo nimeipenda hii
 
una kutana na mdada first day
siku ya pili anakwambia kodi ya nyumba nzima aliyopanga imekwisha.....

unabaki mdomo wazi....

as if tusingeonana ungelala stendi au??????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…