Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?