Penguinelli Cactussini
Senior Member
- May 23, 2022
- 106
- 383
Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?
Hiyo ni lugha ya sasahivi tu mkuu, usitilie maanani sanaSiku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?
Anko faza bwana! Hataki majina yake🤣Siku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?
Wasamehe mkuuSiku za hivi karibuni nimezidi kuwachukia madereva bodaboda na makonda wa daladala. Si shauri na wewe uwachukie ila mimi nachukia sana wakiniita faza (kwani mimi ndio nimewazaa?). Wananiitaga uncle (kwani nimezaliwa na mama zao?).
Ni kweli mimi ni mpana ila sipendi kuitwa bonge au faza.
Nifanyeje ili kuwazuia?