Pre GE2025 Ninawapongeza CHADEMA kwa maoni yao ila hoja namba 5 ni ya ovyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unaamini kwenye vyama kwani?
Hoja nyingine ya hovyo ni kuhusu mgombea binafsi asiwe mwanachama wa chama chochote kwa miezi sita. Sarawat yule muasisi wa ugombea binafsi nchini alikuwa mwana TANU. Sasa hawa hiyo hoja sijui wameitoa kwa misingi gani?
 
UMEUA KABISA;
Kuzungumzia mapendekezo ya Chadema kwa mawazo ya kiccm.
Hiyo haina tofauti na ile mihadhara ya kidini kujadili Agano Jipya kwa kutumia Quran au kuijadili Quran kwa kutumia Biblia.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ambayo ni hoja ya Kijinga.......
Kuna utafauti gani na Viti maalamu hicho kinachofanyika?
Women Vs Women
Men vs Men
Huoni shida shida hapo? Mnataka kuashiria nini ? Kwamba wanawake ni dhaifu hawawezi shindana na wanaume?
Kwani saiv wanawake wanazuiliwa kugombea?
Kuna equal footing tayari, hicho mnachotaka kucreate nyie ni nini?

Hamtaki waingie kwa Viti maalumu na kwa chini yake mnazungumzia wabunge wa kuteuliwa wasiopungua asilimia 30 ya wabunge wote, hawa ni kina nani?
Hakutakuwa na wanawake kwenye hizi asilimia 30?
 
Pasiwepo na viti maalum,

ELIMU inatokewa sawa Kwa makundi yote, hivyo DEMOKRASIA ichukue mkondo wake.
 
Nani kasema viti maalumu inaondoka?
Ukisoma kwa chini wanasema Wabunge wa kuteuliwa wasipungue asilimia 30 ya wabunge wote.
Je hii sio viti maalumu?
 
Huu ubishi unaoleta hapa ni uhuru wako wa maoni na tunauheshimu, je ni kwanini usihoji kwenye public places Kuwa na vyoo vya me na ke kuwa wanaleta ubaguzi wa kijinsia, wakati huko majumbani hakuna vyoo vya me na ke?
 
Nasema mleta mada ni mpumbavu sana, siwezi kukosoa upumbavu ni Sawa na kumpigia mbuzi gitaa ukiamini atacheza. Ni mpumbavu sana! I mean it. Full stop 🛑
Ndugu najua una hasira za kuachwa na mumeo. Relax kila kitu kitakuwa sawa. Wewe sio wa kwanza kuachika kwa tuhuma za kuchepuka.
 
Hakuna asiylipa Kodi nchi hii, kumbuka usipolipa direct, utalipa indirect. Kama hujui sema ueleweshwe kuhusu Kodi. Mfano mdogo tu, kitendo Cha kuwa online, vifurushi umeshalipia Kodi tayari.
Acha ujanja wa Mbuzi kujambia mdomo. Ninauliza kama wewe una biashara ambayo unalipa Corporate tax? Kama huna kaa kimya.
 
Nani kasema viti maalumu inaondoka?
Ukisoma kwa chini wanasema Wabunge wa kuteuliwa wasipungue asilimia 30 ya wabunge wote.
Je hii sio viti maalumu?
Mkuu uwepo wa viti maalumu ni upuuzi mtupu. Labda pendekezo lingekuwa watokane na makundi maalum, kwa mfano watu wenye mahitaji maañum, vyama vya wafanyakazi, vyama vya ushirika, vyama vya wamiliki wa biashara, masoko, uvuvi, wafugaji, wakulima, n.k.

Uwepo wa viti maalum kwa ajili ya wanawake tu ni ubaguzi kwa wanaume maskini na makundi ya vijana wa kiume ambao hawana ajira. Yaani mwanamke apendelewe kwa kuwa tu yeye ni mwanamke, na mwanaume apigike kisa kazaliwa mwanaume. Kama suala ni usawa wa jinsia, basi fursa ziwekwe kwa usawa bila ya kujali jinsi ya mtu.
 
Ningeshauri kila Wilaya iwe na mbunge mmoja tu n viti maalum kil mkoa atoke mmoja tu badala ya baadhi ya Wilaya kuwa na wabunge zaidi ya mmoja
 
Nadhani wao hawakulenga kuwa na idadi kubwa zaidi ya wabunge, bali kutoa fursa sawa kwa wabunge wanaume na wanawake na huenda mantiki yao ni kwamba kura ziamue nani atakuwa mshindi na ikitokea (kama kuna huo muujiza) wakashinda wote wawili, sawa. Pendekezo hili halina maana kwamba majimbo ya uchaguzi hayawezi kupunguzwa ili tuwe na idadi ndogo ya wanaochaguliwa kama shida iko kwenye idadi ya wabunge watakaochaguliwa na Chadema siyo wanaoongeza hayo majimbo.
 
Acha ujanja wa Mbuzi kujambia mdomo. Ninauliza kama wewe una biashara ambayo unalipa Corporate tax? Kama huna kaa kimya.
Kwamba Kila mtanzania analazimika kulipa corporate Tax? Au umeishiwa na hoja Sasa unaanza kutumia mabavu hoja yako ipite?
 
Magari na mafuta navyo hawatapewa?
 
Naam zitapunguzwa kwa miezi kadhaa alafu kuongezwa maradufu baada ya miezi kadhaa..., Hata walivyoongeza hizi posho za sasa sidhani kama walikushirikisha wewe kama mwananchi ?

Duniani hizi Political Parties zimeshageuka kama platforms za watu kupata kura ili waende kura...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…