Lembebez
Member
- May 14, 2023
- 31
- 25
Si lazima idadi ya majimbo ubakie nyingi hivyo, hali kadhalika poshoMkuu majimbo yako 264 kwahiyo wakisema waweke huo usawa tutakuwa na wabunge 528 wa kuchaguliwa ambao ni zaidi ya hawa waliopo. Utakuwa ni mzigo mwingine mzito kwa wananchi.