Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Na Mimi sina Asante yangu huko mama?
 
Usiache kutenda wema Kwa wahitaji utaombewa na Shukrani juu
Amen.

Asante ni neno zuri sana na lenye baraka pia Lina historia kwangu..natamani kuandika nyuzi huenda zikatoa funzo,maelekezo n.k ikiwa pamoja na neno Asante ndani yake lakini iko nje ya uwezo wangu
 
Haujanitaja thijapendaaa😩😩

Depal njooo uone Chakorii ametubagua

Enewei Mungu awabariki sana hao watu akuongezee na wengine, I hope na wewe unafanyika baraka kwa wengine huko

🥂
Hatuna mchangooo

Tutajwe sekta gani sasa? 😂😂😂💃

Kuna mtu pahali wewe ulikuwa baraka kwake,, atakushukuru subiria usiwe na haraka 😂😂😂🙌



Mimi wabarikiwe wote walionipa kicheko mwaka huu, mkaoleweee 😂😂 maana najua wote mko singo.
Siwatag my zangu ila mtapita.
 
Hongera kwa ku appreciate watu.

Mm Nina mama x mkwe wangu kama sintamshukuru mungu atanilaani mno she s always there jaman.

Bado broo na sister hawa nao kiboko
Lakin Nina x kivuruge mmoja aisee namshukuru kwa jambo moja tu lakin mengine haki anamoto wake jehanamu ule moto mwekunduuu....hahaha makatili mpka kwa damu zake..
Ule moto utamuunguza kisawasawa
 
Mungu naye ni mtu????
 
Amen.

Asante ni neno zuri sana na lenye baraka pia Lina historia kwangu..natamani kuandika nyuzi huenda zikatoa funzo,maelekezo n.k ikiwa pamoja na neno Asante ndani yake lakini iko nje ya uwezo wangu
Kabisa..

Ukipata wasaaa please andika tujifunze mr Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…