Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Ameeeeen amen amenHatuna mchangooo
Tutajwe sekta gani sasa? ππππ
Kuna mtu pahali wewe ulikuwa baraka kwake,, atakushukuru subiria usiwe na haraka ππππ
Mimi wabarikiwe wote walionipa kicheko mwaka huu, mkaoleweee ππ maana najua wote mko singo.
Siwatag my zangu ila mtapita.