Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Hatuna mchangooo

Tutajwe sekta gani sasa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ

Kuna mtu pahali wewe ulikuwa baraka kwake,, atakushukuru subiria usiwe na haraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ



Mimi wabarikiwe wote walionipa kicheko mwaka huu, mkaoleweee πŸ˜‚πŸ˜‚ maana najua wote mko singo.
Siwatag my zangu ila mtapita.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚depal bhana
 
Inaonekana hili suala ni kawaida kwa singo mamaπŸ˜…
Na hilo ndilo baya maana watu wanajaribu kutengeneza mazingira ionekane kila single mama hupasha kiporo na wazazi wenzao.hapana sio wote.

Kuna mtu anakutendea wema Kwa watoto wako Unaona kabisa hastahili maumivi ya kutembea na mumewe

Mama w kambo wazuri wapo na singo mamaz pia wapo
 
Binadamu mwema utamjua tu
Kushukuru ni moja ya Ibada
Asie shukuru hana Imani

Omba sana na saidia kadiri unavyoweza bila kuangalia unamsaidia nani
Ukweli mtupu BS.

Bado ndoto ya kusaidia watu ipo ndani yangu sijaisahau.
Ninajua thamani ya kutokuwa nacho na akajitokeza msamaria kutoa msaada.

Habari ya huko ulipo BS.
 
Hongera kwa ku appreciate watu.

Mm Nina mama x mkwe wangu kama sintamshukuru mungu atanilaani mno she s always there jaman.

Bado broo na sister hawa nao kiboko
Asante sana mkuu..
Nisiposhukuru basi nitakuwa ni mchoyo sana.

Ukipata wasaaa mshukuru mwambie na umuombee.

Mungu huyu mia watu kutuvusha
 
Unakufuru Sana kumweka Mungu Katika list ya watu unaowashukuru.
Mungu sio " mtu/ mwanadamu" jamani.
 
Nilimezwa na pale katikati[emoji1]


Lamadi siku hizi hupiti mpendwa wangu katika bwana
πŸ˜ƒπŸ˜ƒkichwa chako kibovu..

Ninapita sana tu…nitaangalia ratiba yangu itakaaje(nitasafiri siku za hivi karibuni)ili nishuke lamadi ninunue samaki.kuna samaki wengi sna pale.
 
Unakufuru Sana kumweka Mungu Katika list ya watu unaowashukuru.
Mungu sio " mtu/ mwanadamu" jamani.
Ohoo okay.nimeandika lakini aijuaye nafsini mwangu anajua sijamwita mwanadamu na sijamfananisha na mwanadamu.

Pendekeza kichwa cha habari mkuu ili niombe Mods wakibadilishe
 
Mungu ana mizungu mingi, hutenda kupitia watu anaowaleta yeye mwenyewe...
 
Hatuna mchangooo

Tutajwe sekta gani sasa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’ƒ

Kuna mtu pahali wewe ulikuwa baraka kwake,, atakushukuru subiria usiwe na haraka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ



Mimi wabarikiwe wote walionipa kicheko mwaka huu, mkaoleweee πŸ˜‚πŸ˜‚ maana najua wote mko singo.
Siwatag my zangu ila mtapita.
Ame, ameee amen
 
Back
Top Bottom