Ninawashukuru watu hawa kabla mwaka huu kuisha.

Nitakujulisha aisee nataka vijana niwachape soup ya samaki akili ziwakae saw[emoji16]

Bwana bwana ile gari inanivuruga akili kishenzy.
Hivi huwezi kunifanyia sapraizi ya ile gari siku yangu ya kuzaliwa kweli [emoji3][emoji3]
Haha!!Vijana wape soup ya samaki

Pole sana kwa kuvurugwa akili na gari yako

Nikumbushe mapema ili nifanye maandalizi ya kutosha kuhusu surprise mkuu wangu kipenzi mzuri na wa kienyeji kabisa
 
Haha!!Vijana wape soup ya samaki

Pole sana kwa kuvurugwa akili na gari yako

Nikumbushe mapema ili nifanye maandalizi ya kutosha kuhusu surprise mkuu wangu kipenzi mzuri na wa kienyeji kabisa
Hakuna shida wa kienyeji nitakujuza.
4th June usisahau

Vijana nitawapiga soup ya kibabe sana😀
 
Umenifanya nicheke asubuhi hii. Tuombeane mema tu katika kila hali.
 
Alikutandika nyundo ya utosi right…😂😂natamani kusikia kisa cha kumuombea moto mwekundu😅😅
 
Mungu wa Mbinguni awabariki sana watajwa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…