Si ndio. Na hii ndo potential yake ya Kula pension akiwa kijana. Ningekua huyu mwamba ningeendelea kujifanya zwazwa nichukue ushahidi wa kutosha then ni vunje champagne 🍾 kabla ya kuanza kaziMpaka anachezewa hivyo maana yake wamemuona hayuko smart,hiki anacho mshauri ndio anaweza kufanya?
Okay! Wanaitwa Msando Law attorneys… wapo Faykat Tower (Morocco) bagamoyo road! Mbele kidogo na makao makuu ya Airtel, ghorofa ya 9.Ungenisaidia Mambo mawili.
1:- Niweze kumfahamu aliyekuwa mwanasheria wao.
2:-Kufahamu zaidi kuhusu kesi hiyo tafadhari.
1:- Mkopo Ni wa mfanyakazi.Hapafu wewe pia unaficha taarifa husemi I NMB branch ipi??,huo Mkopo ni wa aina gani mfanyakazi au mfanyabiashara???;malipo unalipa kwa njia ipi ya makato kwenye mshahara au kwa kupeleka mwenyewe bank.
USiende mahakamani kama huna Mwandishi wa habari, mawakili wa Town elewa neno "Town" na ushahidi wa kutosha. Hii taasisi inaweza kununua mahakama kama genge la nyanya. Be smarterJe hizi mahakama zipo mikoani?
Hilo ndilo tatizoOkay! Wanaitwa Msando Law attorneys… wapo Faykat Tower (Morocco) bagamoyo road! Mbele kidogo na makao makuu ya Airtel, ghorofa ya 9.
Lakini angalizo ni kwamba TAMBUA NMB WANA WANASHERIA PIA WAKUBWA TU! mtanange utakuwa mkali…, sikukatishi tamaa lakini
Hapo Kuna tatizo kidogoU
USiende mahakamani kama huna Mwandishi wa habari, mawakili wa Town elewa neno "Town" na ushahidi wa kutosha. Hii taasisi inaweza kununua mahakama kama genge la nyanya. Be smarter
Mkoani MtwaraMahakama za kibiashara zipo kila mkoa! Taja mkoa ulipo uelekezwe!
Hawa Msando wapo vizuri, wengine ni Joachim & jacob, na ile law firm ya Ridhwaan Kikwete… jina kidogo limenitokaHilo ndilo tatizo
(NMB Wana wanasheria pia wakubwa tu).
Na tena nimeshuhudia mtu akinyimwa haki yake zaidi ya miaka 30, napata Shaka kuu.
Ila penye Nia Pana njia ngoja niwacheki wanasheria Kwanza.
Waandishi wa habari,kwanini aende nao?U
USiende mahakamani kama huna Mwandishi wa habari, mawakili wa Town elewa neno "Town" na ushahidi wa kutosha. Hii taasisi inaweza kununua mahakama kama genge la nyanya. Be smarter
Daaaah!Huwa nina akili chafu sana na yakikatili hakika nitakuja kuua watu wengi sana
Yaan huyo meneja ni wa kumpiga moto ndani kwake na familia yake,sipendag ujinga mimi tena wa kuonewa kinyonge
Nadhani kwenye website na mitandao ya kijamii nitawapata.Hawa Msando wapo vizuri, wengine ni Joachim & jacob, na ile law firm ya Ridhwaan Kikwete… jina kidogo limenitoka
Mwandishi wa habari media yoyote kubwa let's say Jambo TV n.kHapo Kuna tatizo kidogo
-Mwandishi wa habari (media gani?)
-Mawakili wa town (Specifications zao zikoje?)
Hao wote nitafatilia wanakoishi maana huko hakuna hayo mabundukiDaaaah!
Hebu vuta picha unafika Benki iliyo na walinzi Kila Kona wamebeba bunduki pamoja na marungu.
Unaingia Benki unakutana na afisa mikopo hakujali, unaenda kwa Bank manager anayekukaripia na kurudisha kwa afisa mikopo asiyejal.
Huo uwezo wa kufanya vurugu utautoa wapi , Kama siyo kutafuta kusingiziwa kuwa Ni jambazi.
Sifanyi kazi NMB Ila nilikaripiwa na NMB Branch manager 🤔🤔Na wewe ni mfanyakazi wa NMB au sijakuelewa?
Asante.Mwandishi wa habari media yoyote kubwa let's say Jambo TV n.k
Record Kwanza video kuhusu "Kutapeliwa na NMB". hakikisha unaabaki na copy ya video then hakikisha video inarushwa kwenye tv Yao and share iyo video tiktok e.t.c,
Mawakili wa town : namaanisha mawakili wenye uzoefu wa kutosha. Wanapatikana wapi ulizia ukikosa nenda "Twitter"
Ili alipwe fidia bila story nyingi. Lazima malalamiko yake yawe live social media . Hii itaipa uzito hii kesi na NMB watafanya kila wanaloweza kuclear mambo.Waandishi wa habari,kwanini aende nao?
Aisee polee sana. Usijali mkuu, utapata suluhu juu ya changamoto yako.Sifanyi kazi NMB Ila nilikaripiwa na NMB Branch manager 🤔🤔
Unajua kikweli ilinihuzunisha Ila nikasema kwa vile natafuta haki yangu Bora nivumilie.
Labda hiyo inaweza kuwa mbinu nzuri Kama ikitumika mwishoni tatizo linapokosa ufumbuzi.Hao wote nitafatilia wanakoishi maana huko hakuna hayo mabunduki