Ninawiwa kusema huyu MC Gara B anapendwa mno na hawa wanawake!

Wanawake wanapenda yale yanayoonekana kupendwa na wanawake wenzao. Hilo huwezi pingana nalo, kausha.

Fanya hatua nawe upendwe na wanawake wengine ili attention ya mkeo irudi kwako. Tafuta pesa, jenga mwili, vaa vizuri, ongeza kujiamini, kuwa mwanaume.
 
Hivi wanawake wanawatesaje hivi?
Vijana wa siku hizi mazuzu na uanaume wao unakuwa na walakin sana, mambo ya kipuuzi kabisa lakini eti wanayaona ya kawaida.
Mkeo anatoa wapi ujasiri wa kukwambia upuuzi, tuna vijana wa hovyo sana.
 
Huu ujinga wa watu kujipigia promo siku hiz umekithir sana humu jf.
 
Haya bwana Gara B lipia tangazo basi
 
Ko wee Gara B ndo umekuja kujipigia promo hapa?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kati ya gra b na Dr cheni cheni Yuko juuu kinomaaa yaan Yuko booked throughout a year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…