Unaweza kukuta nae ana jamaa anampasua vizuri tu. Dunia hii aisee
Dunia ishabadilika unaweza kukuta kweli anapasuliwa tu kama kawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kukuta nae ana jamaa anampasua vizuri tu. Dunia hii aisee
Unamaanisha nini hapo boss?!Unaweza kukuta nae ana jamaa anampasua vizuri tu. Dunia hii aisee
Anapewa MIC na kutuma salamDunia ishabadilika unaweza kukuta kweli anapasuliwa tu kama kawaida
Wewe una hayo yote?Wanawake wanapenda yale yanayoonekana kupendwa na wanawake wenzao. Hilo huwezi pingana nalo, kausha.
Fanya hatua nawe upendwe na wanawake wengine ili attention ya mkeo irudi kwako. Tafuta pesa, jenga mwili, vaa vizuri, ongeza kujiamini, kuwa mwanaume.
Jamani mbona mimba ya mkeo ndefu Sana....hajajifungua bado?
Mc Gara whaaat?
[emoji23][emoji23]kwannMkeo ana chura? Kama anachura nakupa pole.
Yes,ni mhaya!Ni Mhaya yule jamaa?
Vijana wa siku hizi mazuzu na uanaume wao unakuwa na walakin sana, mambo ya kipuuzi kabisa lakini eti wanayaona ya kawaida.Hivi wanawake wanawatesaje hivi?
Huu ujinga wa watu kujipigia promo siku hiz umekithir sana humu jf.Leo hakuna cha salamu, nimeshaona kwa wanawake zaidi ya wanne wa jamaa zangu wakiwalazimisha waume zao kuwa liwalo na liwe kwenye events zao Mc ni lazima awe GaraB.
Sio mbaya, jamaa yupo vizuri na anafanya kazi nzuri. Napongeza kwa hilo. Shida ni hawa wake zetu hususani huyu wangu, karibu kila event ya GaraB anang'ang'ania kwenda.
Linaweza kuwa jambo zuri, ila kama mwanaume nasononeka mno kwa wife kuonesha kuvutiwa na events za jamaa japo ni jambo zuri!
Ila nimeongeza umakini na uangalifu kwa mke wangu kipindi hiki cha ujauzito wake, kuhusu mambo yake ya kuvutiwa na huyu MC.
Yaani kazini karibia wadada wote wanaonesha kumkubali mno GaraB mpaka wengine wanakiri kuwa tayari hata awafanye mipango ya kando tu.
Daaah! Hasara na pole kubwa kwa waume zao.
🤣🤣🤣🤣Nimeanza kukutana nayo kwenye post za mleta mada kitambooo🤣🤣🤣 aki nmecheka, ati mimba ndefu
Ni Mhaya yule jamaa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] ila watu jaman khaaaah.Unaweza kukuta nae ana jamaa anampasua vizuri tu. Dunia hii aisee