Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Mbona umeandika ujingaJamba
🤣🤣🙌Aisee, kuna wadada wababe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sista[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂kuna wenzako humu hata wa kumuambia bby i love you hawana[emoji23][emoji23]
Kwa hiyo unataka jamaa ajiunge chaputa😲😲😲Piga chini wote
Wanawake wameisha brotherKwa hiyo unataka jamaa ajiunge chaputa😲😲😲
Eti 🤣🤣🤣Kwa hiyo unataka jamaa ajiunge chaputa😲😲😲
Mbwa kala mbwa!Nipo njia panda kwa kweli....
Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza
Picha kwa hisani ya Google
View attachment 2584790
GgNipo njia panda kwa kweli....
Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza
Picha kwa hisani ya Google
View attachment 2584790
Sawa kiongozMbwa kala mbwa!
Kwa ushauri mtafute mwingine ambae hampendani kiviiile ila kila mmoja anataka kukaa na mwenzie
Yatapita tumhosha huoshwa, pambana aisee.!
Afu kawaida sanaKitaalamu hiyo ni ngoma droo
Kama unampenda,anakupenda kwanini hataki muwe pamoja??...huyo wa kwanza hakupendi anakudanganya hakuna mwanamke anaempenda mwanaume afu akakataa kuwa nae pamoja,amkaNipo njia panda kwa kweli....
Naombeni ushauri, hasa hasa huyo wa kwanza
Picha kwa hisani ya Google
View attachment 2584790
MnooAfu kawaida sana
ahahaha, unajifanya shujaa eeh.!Yatapita tu
Sawa MkuuKama unampenda,anakupenda kwanini hataki muwe pamoja??...huyo wa kwanza hakupendi anakudanganya hakuna mwanamke anaempenda mwanaume afu akakataa kuwa nae pamoja,amka