Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

Ninayempenda, ananipenda ila hataki tuwe wote. Mwingine ananipenda, nampenda pia ila sitaki tuwe wote

SASA SI MZIGO UMEBALANCEE MKUU WEW UNATAKA UPEWE NINI NDIPO USHUKURU?

Mbona hiyo inasuuuuu hiyo nzuriii, kuna wenzako humu hata wa kumuambia bby i love you hawana[emoji23][emoji23] hata umu wapo kutwa kuwaPM wadada/wakaka na hawajibiwi sms zao[emoji23].

Mfanye apende ukarbu wenu acha uzembe, ukishindwa wapo watakaokusaidia
 
Back
Top Bottom