Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

Kuwa wagumba au Tasa hakukuwa kwenye hesabu zao au ulikuwa ukiwapangia ni lazima kuzaa? maisha waliyoishi na wazazi wao yana mengi sidhani kama mzee mengi alienda kwa miajli ya jack azae ama asizae...
Thank you. You spoke my mind. After all bado wana haki kwa mali ya mama yao. Eti wamejikosesha. Tueage tunawaza mara mbilimbili bwana. Hivi wanamjua mama mercy kweli? Huyu ndo alikua na mkwanja. Na ndo alomsomesha hata mengi. Na ndo alianzisha kiwanda cha bonite angali amempeleka mumewe kwenda nje kusoma yete alishaanza biashara huku. Halag binti mmoja lwa miaka mitano tuu ajitwalie kiurahisi tu.

Halafu mnaongea kirahisi sana. Hebu jiwekeni kwenye position ya hawa watoto wakubwa. Mama yao kahussle. Yet baba yao pia kagussle. Yet na wao pia wamepambana. Dada mmoja anajua kwenda bahamas na ibiza within 5 yrs anataka ajitwalia tu. Imagine we ndo mama wa hawa wakubwa halag wanao wawe treated hivi kwa jasho lako.

Kuzaa ama kutokuzaa haijalishi period. Iwe ni kwa kupenda ama kutokupenda. Kwani wao si wana watu wao pia wanaowapenda na kuwathamini ambao wanaweza kuwarithisha? Aache ujinga huyu mrembo. Hao watoto wake ndo keki ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank you
I hear Mercy Mama Mengi katoka ukoo wa Chifu huko she was very rich kwao na ndo source ya utajiri...Mengi alitoka familia hohehahe
 
Thank you
I hear Mercy Mama Mengi katoka ukoo wa Chifu huko she was very rich kwao na ndo source ya utajiri...Mengi alitoka familia hohehahe
Na kumsomesha juu. Mama mercy katokea ukoo wa shangali. Chief shangali.
Yaan yeye ulaya kitambo sana huko zama za mkoloni. Nawashangaaga kweli wanaosema tunamwonea wivu. Its about humanity. Hofu ya Mungu iko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono hoja! Hata jack sijui kwanini haoni aibu jamani!...!..watoto wake wamescrfy mangapi jaman .hawajaolewa wako busy na kampuni za baba anatokea tu mtu huko anapga lock.? Hapana!..na wanawake tujifunze...unaolewa na bilionea anakufungulia fenicha store?? How...huu ni uzwazwa..jack alitakiwa kuwa na kampuni zinazoeleweka hata mbili..eti nifungue store furniture? Never!
 
Hahahah sasa angefungua nini ili apige hela za fasta fasta,.?ungefungua biashara ipi kwa mfano ambayo utaingiza hela na wala husoti ...ipi?.

hamna hela rahisi jmn ..hata ufanye biashara gani ama ajira gani...hakuna hela rahisi hata angemuazishia forever living yake mwenyewe..ama vicoba

dada J kuhustle anaona kasheshe..Mengi mwenyewe mpaka kutoboa sio swala la mchezo mchezo amesota kwelii na mkewe

Sister J yuko bize na hzo mali mana akiambiwa azitafute hawezi....by appearance tu furniture zake zina expensive taste mauzo daily ni ngumu

Na vitu vinavyoingiza hela ni hivi vya kudunduliza mauzo kila siku mfano soda ama juice km kina bakhresa..ama maji...

ROME WASNT BUILT IN A DAY...And so is Mengis' wealth
 

Anakurupuka sasa hivi wakati keshachelewa! Alipaswa wakati huo awe na Makampuni yenye kama 10bn capital minimum! Akaishia kuuza masofa na masofa yenyewe sijui anamuuzia nani,maana wenye pesa zao sasa hivi wanaagiza moja kwa moja Ulaya/US!
 
Hovyooooooooh tamaaa za mengi zigharimu familia yoteeee hakuna kitu km hicho. Jack apambane kivyake tyuuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza haswaaaaaaaah huyu jack atutoleeeeeh upuuz wakeee hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hapa ndjo unapojua ya kwamba mwanamke hapendi anagalia maisha so na wewe mwanaume usimpende mwanamke angalia papuchi yake tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…