Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Kwanza ifahamike wanaume tunapata utulivu wa ubongo na burudani ya macho kupitia hawa wadada wenye maumbo mazuri.
Ninaposema wadada wenye maumbo mazuri sihusishi sura, namaanisha kunzia shingo kushuka chini, lakini kikubwa kikubwa kikubwa ni Makalio makubwa yaani Mizigo.

Ni ukweli usiokwepeka kwamba hawa watu wanatupa burudani bila malipo yoyote, vuta picha kwamba wadada wenye mizigo wote wahamishwe nchini tubaki na hizi chelewa tu nini kitatokea!

Kitakachotokea ni kwamba wanaume tutapata magonjwa ya akili kwa kukosa huduma muhimu ya kuwaangalia hawa watu.

Hivyo basi, ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi ningepitisha sheria hii:
Kwenye kila pato la mwanaume zingekatwa asilimia 2 ambazo kwa mwezi, ambazo zingepelekwa moja kwa moja kwenye mgao ambao wangepata hawa wadada, hii ingeleta usawa wa kihaki kwani hawa wadada hutupa burudani na tiba ya ubongo na hawanufaiki kwa lolote.
Asanteni sana.

ni mimi Muimba SINGELI.


Nina hoja nisikilizwe.
 
Nakubali kamanda, hii nchi viongozi wake hawana maono kabisa, ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi mngefika mbali.
 
Kwa nini kaka?🤔
Ooh nimeshakupata 😅😅 usijali wewe tunakutoa kwenye mpango, ila na mimi nahisi nitakuwa mashakani so Muimba SINGELI itabidi utusamehe kaka labda siku nyingine😁
🤔 mkuu inamaana wewe unaridhia hawa wadada wanapokosa haki zao za msingi?
 
Ndiyo si unaona inavyoharibu mawazo ya wapigania haki
Kwahiyo mkuu huoni kwamba napigania haki za hawa wadada ambao hawanufaiki na huduma zao? Kwanini tunatoa hela kwenda mbugani kuwaangalia tumbili halafu tushindwe kutoa stahiki kwa hawa wadada ambao wana kitu ambacho tumbili na nyoka hawana?!!!
 
Back
Top Bottom