Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,864
Limepita bila kupigwa π
Hivi ni bila kupigwa au bila kupingwa?Limepita bila kupigwa π
makosa madogo madogo kaka ππHivi ni bila kupigwa au bila kupingwa?
Hii ni sirias kiongozi ila nimeiweka hapa ili ieleweke zaidi na wenye akili pana tu.Ndugu wachangiaji mzingatie jukwaa jaman ni la jokes πππ
OK.... πmakosa madogo madogo kaka ππ
Hili suala ni gumu kutekelezeka wakuu mniwie radhi πππsaa Muimba SINGELI Inabidi hili wazo tuliwasilishe kwa raisi mtarajiwa mr Dennis Robert au unasemaje Harmful π π
Ina shida hadi izuiwe?Bangi izuiwe
Mkuu mbona ni jambo la kuwezekana tu? Kwa watu wasio na account za bank unaundwa mkakati maalum wa kukusanya 2% ya kipato chao.Hili suala ni gumu kutekelezeka wakuu mniwie radhi πππ
Ndiyo si unaona inavyoharibu mawazo ya wapigania hakiIna shida hadi izuiwe?
Kwa nini kaka?π€Hili suala ni gumu kutekelezeka wakuu mniwie radhi πππ
π€ mkuu inamaana wewe unaridhia hawa wadada wanapokosa haki zao za msingi?Kwa nini kaka?π€
Ooh nimeshakupata π π usijali wewe tunakutoa kwenye mpango, ila na mimi nahisi nitakuwa mashakani so Muimba SINGELI itabidi utusamehe kaka labda siku nyingineπ
Kwahiyo mkuu huoni kwamba napigania haki za hawa wadada ambao hawanufaiki na huduma zao? Kwanini tunatoa hela kwenda mbugani kuwaangalia tumbili halafu tushindwe kutoa stahiki kwa hawa wadada ambao wana kitu ambacho tumbili na nyoka hawana?!!!Ndiyo si unaona inavyoharibu mawazo ya wapigania haki
Samahani kaka ππ labda umtafute shimba wa bunyenze na poor brain lazima wakusapoti ππ€ mkuu inamaana wewe unaridhia hawa wadada wanapokosa haki zao za msingi?
Lakini hata nyinyi inapaswa muunge mkono huu ukweli ili mwenye haki apate kidogo chake.Samahani kaka ππ labda umtafute shimba wa bunyenze na poor brain lazima wakusapoti π