Ningekuwa kiongozi mkuu wa nchi, ningefanya hili kuwanufaisha wadada wenye maumbo mazuri

Hebu tuwekee angalau vipicha viwili vya hao dada wazuri tuoshe macho
 
Kwahiyo mkuu huoni kwamba napigania haki za hawa wadada ambao hawanufaiki na huduma zao? Kwanini tunatoa hela kwenda mbugani kuwaangalia tumbili halafu tushindwe kutoa stahiki kwa hawa wadada ambao wana kitu ambacho tumbili na nyoka hawana?!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kijana una hoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…