B Boston12 Member Joined Feb 23, 2025 Posts 35 Reaction score 78 Mar 3, 2025 Thread starter #41 gonamwitu said: Kuwapakata yanga ni jambo rahisi sana waachie mpira wapige kaunta imeisha hiyooooo...!! Click to expand... Hiyo ndio mbinu ya kuwamaliza hao ndio maana mbele nimeweka wakimbiaji watupu Kibu D, Chasambi, Mukwala na Mpanzu.
gonamwitu said: Kuwapakata yanga ni jambo rahisi sana waachie mpira wapige kaunta imeisha hiyooooo...!! Click to expand... Hiyo ndio mbinu ya kuwamaliza hao ndio maana mbele nimeweka wakimbiaji watupu Kibu D, Chasambi, Mukwala na Mpanzu.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Mar 3, 2025 #42 gonamwitu said: Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8? Click to expand... Debora ni Mchezaji mzuri sana. Ngoma amechoka sana Mzee. Umri wake Umesogea sana Simba iache kumtegemea ngoma Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma. Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa.
gonamwitu said: Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8? Click to expand... Debora ni Mchezaji mzuri sana. Ngoma amechoka sana Mzee. Umri wake Umesogea sana Simba iache kumtegemea ngoma Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma. Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa.
B Boston12 Member Joined Feb 23, 2025 Posts 35 Reaction score 78 Mar 3, 2025 Thread starter #43 CAPO DELGADO said: Debora ni Mchezaji mzuri sana. Ngoma amechoka sana Mzee. Umri wake Umesogea sana Simba iache kumtegemea ngoma Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma. Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa. Click to expand... Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake
CAPO DELGADO said: Debora ni Mchezaji mzuri sana. Ngoma amechoka sana Mzee. Umri wake Umesogea sana Simba iache kumtegemea ngoma Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma. Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa. Click to expand... Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Mar 3, 2025 #44 Boston12 said: Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake Click to expand... Mechi na yanga inahitaji 1.kuthibiti mchezo. 2. Kukaba sana. 3. Kukimbia sana. 4. Kujitoa. Hizi sifa zote anazo Debora. Bila kukosekana kwa Debora kutai cost Timu.
Boston12 said: Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake Click to expand... Mechi na yanga inahitaji 1.kuthibiti mchezo. 2. Kukaba sana. 3. Kukimbia sana. 4. Kujitoa. Hizi sifa zote anazo Debora. Bila kukosekana kwa Debora kutai cost Timu.
pesakilakitu JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 1,618 Reaction score 2,861 Mar 3, 2025 #45 Uto naona kafara lao leo la kwenda kwa wenye shida maalum na yatima limefanyika..siku zote hufanya hivyo kabla ya derby. Pangani FC.
Uto naona kafara lao leo la kwenda kwa wenye shida maalum na yatima limefanyika..siku zote hufanya hivyo kabla ya derby. Pangani FC.
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 8,542 Reaction score 18,340 Mar 3, 2025 #46 Ngoma hawezi tena Mpira Anachokifanya kwa Usahihi ni kupiga pasi na Uongozi ndani ya Uwanja. Wamkabidhi Debora eneo la Kiungo No 8.
Ngoma hawezi tena Mpira Anachokifanya kwa Usahihi ni kupiga pasi na Uongozi ndani ya Uwanja. Wamkabidhi Debora eneo la Kiungo No 8.
Rozela JF-Expert Member Joined Jan 5, 2024 Posts 845 Reaction score 2,235 Mar 3, 2025 #47 Unawatakia msiba makolo. Watakula 6.