Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

Ningekuwa kwenye benchi la ufundi la Simba SC ningependekeza kikosi hiki hasa kwenye mechi dhidi ya Yanga

Kuwapakata yanga ni jambo rahisi sana waachie mpira wapige kaunta imeisha hiyooooo...!!
Hiyo ndio mbinu ya kuwamaliza hao ndio maana mbele nimeweka wakimbiaji watupu Kibu D, Chasambi, Mukwala na Mpanzu.
 
Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8?

Debora ni Mchezaji mzuri sana.

Ngoma amechoka sana Mzee.

Umri wake Umesogea sana
Simba iache kumtegemea ngoma
Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma.

Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa.
 
Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake
 
Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake

Mechi na yanga inahitaji
1.kuthibiti mchezo.
2. Kukaba sana.
3. Kukimbia sana.
4. Kujitoa.
Hizi sifa zote anazo Debora.

Bila kukosekana kwa Debora kutai cost Timu.
 
Uto naona kafara lao leo la kwenda kwa wenye shida maalum na yatima limefanyika..siku zote hufanya hivyo kabla ya derby.

Pangani FC.
 
Ngoma hawezi tena Mpira
Anachokifanya kwa Usahihi ni kupiga pasi na Uongozi ndani ya Uwanja.

Wamkabidhi Debora eneo la Kiungo No 8.
 
Back
Top Bottom