- Thread starter
- #41
Hiyo ndio mbinu ya kuwamaliza hao ndio maana mbele nimeweka wakimbiaji watupu Kibu D, Chasambi, Mukwala na Mpanzu.Kuwapakata yanga ni jambo rahisi sana waachie mpira wapige kaunta imeisha hiyooooo...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndio mbinu ya kuwamaliza hao ndio maana mbele nimeweka wakimbiaji watupu Kibu D, Chasambi, Mukwala na Mpanzu.Kuwapakata yanga ni jambo rahisi sana waachie mpira wapige kaunta imeisha hiyooooo...!!
Ukimuacha ngoma nani anacheza namba 8?
Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yakeDebora ni Mchezaji mzuri sana.
Ngoma amechoka sana Mzee.
Umri wake Umesogea sana
Simba iache kumtegemea ngoma
Iachanae na kutengeneza timu ya kumzunguka Ngoma.
Mchezo wa Jumamosi Unamuhusu sana Debora Kocha ana wakati mgumu sana hapa.
Shida ya Deborah ni kujisahau na kudhani uwanjani yupo peke yake